Je unamjua Pythagoras?, huyu mtu alikuwa ni Genius sana watu wa Mathematicx/Hesabu wanamfahamu
Pythagoras alikuwa na tatizo la phobias(uoga wa kitu fulani) alikuwa anaogopa sana maharagwe,yani kuyaona maharagwe kwake ilikuwa sawa na wewe kukutana na Simba
Kutokana na umaarufu na utajiri wake alionao alivamiwa na majambazi nyumbani kwake lakini alifanikiwa kuwatoroka, wakati walipokuwa wana mkimbiza kwa bahati mbaya alienda kutokea kwenye shamba la maharagwe, kutokana na kuyaogopa sana alikubali kukamatwa na kupelekea kifo chake, inadaiwa alifariki kati ya miaka ya 450B.C Au 500B.C
By magical power
View attachment 3136220
Uko Sahihi Kuhusu Jinsi Alivyokamatwa na Jinsi alivyouliwa..
Japo Story Ni more of legend than true kuna Kitu kidogo umepitiwa au aliyetoa Story amepotia Nacho ni Phobia..
Pythagoras hakuwa na Phobia ya Maharage nitaelezea baadaye Kwanini hakutaka kuyasogelea Maharage wala kuyala..
Mimi Kama Mwanafunzi wa Numerology kwa Miaka zaidi ya 8 Na spirituality personel namtambua Pythagoras kama Baba wa Numerology na Ocult science of Number..
Yeye ndo aliyeleta Ideal philosophy ya Kila Number Ina nguvu ndani yake "
The power of Number"..
Pia ikumbukwe kuwa (Ukisoma vitanu vingi vya Pythagoras) kutokana na Elimu yake kuwa kubwa Iliyofanana na Ma "Guru" na Ma "Monks".
walishindwa Kumuita Hayo majina kwa sababu Wenye imani zao hizo hawakutaka Mgiriki kumuita majina matukufu kama hayo japo walimuheshimu kwa elimu yake..
Kwahyo Pythagoras Ndo akaanzisha Jina lake Tukufu kwa Watu wasio wa Upande wa Monks na Gurus Ila wana Elimu na Akili..
Philosopher..Ambalo ni Philo au Phile Means "Love" and Sophia Means Wisdom or Knowledge"...
Turudi sasa Kwenye Maharage
Pythagoras Kama Mmoja wa Spiritual Teacher na wafuasi wake waliamini kuwa maharage yana special properties na were linked to the cycle of life and death (The Cycle of samsara) au Kwa lugha nyingine Reincarnation
They thought beans contained the essence of the soul and were associated with rebirth.
Na kwakuwa waliamini Hivyo Pythagoreans often avoided eating beans. so kwa hiyo aversion was part of their broader dietary restrictions that encouraged vegetarianism and a diet focused on purity na moderation.
Beans pia Zilitumika symbolically in their teachings. Kwa mfano they believed that consuming beans could lead to the mixing of souls, which was considered undesirable.
Kwahyo aliheshimu Kwa sababu alijua hapo ndo kuna Life and Dealth hutokea na Souls zinakuwepo hapo Zikisubiri Reincarnation so aliogopa Kuzuia Process ya Reincarnation