Q&A, kwanini kila habari ya Mange ni verified kuliko nyingine?

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
925
Reaction score
550
Toka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.

Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?

Au ni watu ni ile tabia ya kupenda kusikia tu kile tunachotaka kusikia ndio kinaoeleka kuamini na kuthibitisha kila anachosema?

Au pengine tumeungana kuwa comrades kwa kuattack upande mmoja ndio maana tunakubali lolote tu ili yule tunaye mshambulia aumie?

Kipi kinakufanya uamini kile anachosema kuliko neno la Yesu!?
 
Kwa sababu anaishi Marekani, kwani hujui watu huamini wanaoishi Ulaya ndio wakweli, na ndio maana matapeli weni huja. Kwa gia ya uzungu na Kiingereza
 
Toka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.

Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?

Au ni watu ni ile tabia ya kupenda kusikia tu kile tunachotaka kusikia ndio kinaoeleka kuamini na kuthibitisha kila anachosema?

Au pengine tumeungana kuwa comrades kwa kuattack upande mmoja ndio maana tunakubali lolote tu ili yule tunaye mshambulia aumie?

Kipi kinakufanya uamini kile anachosema kuliko neno la Yesu!?
Me simjui huyo mtu ila ungeweka hayo aliyoyasema kama mambo manne hivi ili na mimi niyalinganishe kama ni ya kweli au ya uongo
 
Toka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.

Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?

Au ni watu ni ile tabia ya kupenda kusikia tu kile tunachotaka kusikia ndio kinaoeleka kuamini na kuthibitisha kila anachosema?

Au pengine tumeungana kuwa comrades kwa kuattack upande mmoja ndio maana tunakubali lolote tu ili yule tunaye mshambulia aumie?

Kipi kinakufanya uamini kile anachosema kuliko neno la Yesu!?

Kwa taarifa yako huu UZI wako unazidi kumtangaza MANGE na hata ambao hawamjui wataingia IG kumtafuta na kum-follow!

Waliokutuma wamekosea strategy coz unazidi kumpaisha!
 
Toka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.

Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?

Au ni watu ni ile tabia ya kupenda kusikia tu kile tunachotaka kusikia ndio kinaoeleka kuamini na kuthibitisha kila anachosema?

Au pengine tumeungana kuwa comrades kwa kuattack upande mmoja ndio maana tunakubali lolote tu ili yule tunaye mshambulia aumie?

Kipi kinakufanya uamini kile anachosema kuliko neno la Yesu!?
tupia hapa USHAHIDI wa hayo aliyo yasema
 
Mange ni miongoni mwa watu wanao jitengenezea mazingira kupitia matokio na watanzania ni watu wamatukio nae ndo ameona ni fursa aliyo nayo kujijenga na kuaminika na jamii ya watu wamatukio

Ukija watu wa dar ndo aanamkubari na kaumfutilia mange kuliko wa mikoan
 
Back
Top Bottom