Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
- Thread starter
- #121
Siku nyingine ustumie hisia kujibuNashauri nyinyi maccm mngeanzisha page yenu ya kuongea habari za ukweli nadhani mngepata followers wengi, mbona watu hawana habari na page ya Polepole ? Au jpm huko insta? Hawana mvuto wanaongea yaleyale bombadia ,sijui serikali inapambana na rushwa wakati watu wanaona si kweli,