Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
Labda neno lake sheriaMe simwamini ata kidogo mana habari zake zmeegemea upande anaoupenda yeye/wenye maslah kwake nakuwalazimisha na wengne wakbar, ukikataa Block[emoji56] [emoji3]
Kwa sababu anaishi Marekani, kwani hujui watu huamini wanaoishi Ulaya ndio wakweli, na ndio maana matapeli weni huja. Kwa gia ya uzungu na KiingerezaToka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.
Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?
Au ni watu ni ile tabia ya kupenda kusikia tu kile tunachotaka kusikia ndio kinaoeleka kuamini na kuthibitisha kila anachosema?
Au pengine tumeungana kuwa comrades kwa kuattack upande mmoja ndio maana tunakubali lolote tu ili yule tunaye mshambulia aumie?
Kipi kinakufanya uamini kile anachosema kuliko neno la Yesu!?
Me simjui huyo mtu ila ungeweka hayo aliyoyasema kama mambo manne hivi ili na mimi niyalinganishe kama ni ya kweli au ya uongoToka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.
Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?
Au ni watu ni ile tabia ya kupenda kusikia tu kile tunachotaka kusikia ndio kinaoeleka kuamini na kuthibitisha kila anachosema?
Au pengine tumeungana kuwa comrades kwa kuattack upande mmoja ndio maana tunakubali lolote tu ili yule tunaye mshambulia aumie?
Kipi kinakufanya uamini kile anachosema kuliko neno la Yesu!?
Unga wa ndele ndio nini?Unga wa ndele amewalisha, Mange anataka kufuta aibu ya habari yake ya Diamond
Diamond na humu inakuaje?Yaani Diamond ana roho mbaya sana, anawalipa watu pesa ili wasiangalie video za Ali Kiba kwenye YouTube? Ndio maana kazaliwa Manzese
Labda aiseeKwa sababu anaishi Marekani, kwani hujui watu huamini wanaoishi Ulaya ndio wakweli, na ndio maana matapeli weni huja. Kwa gia ya uzungu na Kiingereza
Duh zaidi ya unga na ukimwi?mange ameathiri vijana wengi sana nchini
Toka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.
Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?
Au ni watu ni ile tabia ya kupenda kusikia tu kile tunachotaka kusikia ndio kinaoeleka kuamini na kuthibitisha kila anachosema?
Au pengine tumeungana kuwa comrades kwa kuattack upande mmoja ndio maana tunakubali lolote tu ili yule tunaye mshambulia aumie?
Kipi kinakufanya uamini kile anachosema kuliko neno la Yesu!?
tupia hapa USHAHIDI wa hayo aliyo yasemaToka nianze kumsikia Mange Kimambi mtandaoni, nimeona asilimia kubwa ya watu huamini kila anachosema.
Kwanini kila habari yake inakuwa verified kuliko nyingine?
Au ni watu ni ile tabia ya kupenda kusikia tu kile tunachotaka kusikia ndio kinaoeleka kuamini na kuthibitisha kila anachosema?
Au pengine tumeungana kuwa comrades kwa kuattack upande mmoja ndio maana tunakubali lolote tu ili yule tunaye mshambulia aumie?
Kipi kinakufanya uamini kile anachosema kuliko neno la Yesu!?
Hakuna anaemponda..Msishangae wengi wanaozuga kumpoda hapa ndo followers wake kila siku wanashinda kweye page yake
Sijatumwa na mtu pia mm najua ndio maana nimeweka huu uzi humuKwa taarifa yako huu UZI wako unazidi kumtangaza MANGE na hata ambao hawamjui wataingia IG kumtafuta na kum-follow!
Waliokutuma wamekosea strategy coz unazidi kumpaisha!