Q&A, kwanini kila habari ya Mange ni verified kuliko nyingine?

Wale wa SHILAWADU ndio wanamuamini sio wote jamaa
 
sijakuelewa hapo mwisho unaposema kuliko neno la yesu ina maana CCM ndio neno la yesu?
 
Umenena sahihi. Hata hapa JF ukisifia jambo la serikali, wengi wanakuona unajikomba na si ukweli. Ukizusha kuishambulia serikali wewe ni GT! Tunalea kizazi cha ajabu kabisa
 
mi niko simiyu huku na wenzangu tunampenda sana mange
 
Kwa taarifa yako huu UZI wako unazidi kumtangaza MANGE na hata ambao hawamjui wataingia IG kumtafuta na kum-follow!

Waliokutuma wamekosea strategy coz unazidi kumpaisha!
Haya ni mawazo mfilisi! Kumtangaza au kutomtangaza si issue afterall kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake akiwemo mage. Huyu anajaribu kuleta hoja ili tuijadili na kwa kufanya hivyo sioni kama anaajenda ya kumjenga au kumbomoa. We need to think outside the box bagosha
 

Toka uanze kumsikia au kumfuatilia??
Habari yake inakuwa verified kulinganisha na ya nani??
Neno la Yesu limeingiaje hapa?? Mange kawa mchungaji siku hizi??

Nimegundua kitu, mange ni kama maji, usipo yanywa basi utayaoga. Ni usela mavi wa baadhi ya member humu kujifanya hawamfuatilii kumbe ndiyo informer wao.
 
When it Hits.. You feel no Pain as Music...
Umbea haujawahi kukosa radha...
kuwa valid or invalid it depends na uelewa na kuyajua mambo..

kuna habari huwa uongo kabisa na nyngine huwa karibu na kweli.. hakuna habari ambayo hukamilika kwa asilimia zote,
hata habari za yesu na mitume bado haziaminiki
 
Instagram ilianzishwa watu wafurahi na ukiwa siriaz San lazm uumie kam jf tu

IG raha yake ni kufuatilia wenzako wanafny nn,ndo maan unamfollow MTU ,na kwa sababu iyo bhac ili uwe IG lazm uwe mbeya tu ata iwaje ndo maan unafollow watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…