Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
- Thread starter
-
- #121
Siku nyingine ustumie hisia kujibuNashauri nyinyi maccm mngeanzisha page yenu ya kuongea habari za ukweli nadhani mngepata followers wengi, mbona watu hawana habari na page ya Polepole ? Au jpm huko insta? Hawana mvuto wanaongea yaleyale bombadia ,sijui serikali inapambana na rushwa wakati watu wanaona si kweli,
Ukue haraka ujinga ukutokeUlikua unatakaje sasa! Mbona kama unawashwa?!
Sio kila sehem kuna fanyika kaz za watu wasiojulikanaWanasubiri nini???kumtumia watu wasiojulikana huko huko alipo??
Siku nyingine ustumie hisia kujibu
ManenoHeee we unatumia nini kujibu?