Wadau, hivi karibuni Lilian Wasira alizindua album yake pale Land mark ya nyimbo za ukombozi. Album ina nyimbo 6 ambazo ni (i) Kwaheri CCM (ii) wakoloni weusi (iii) Mbeleko gani (iv) Mpo wapi leo wamama nchi inaondoka (v) Tunataka ukombozi (vi) Fimbo ya mnyonge ni kura. Nimemwomba tufanye nae mahojiano maalum kuhusu album hiyo naomba kama kuna mtu ana swali aweke atawajibu soon. karibuni