Q & A na Lilian Wasira Kuhusu Album yake ya Nyimbo za Ukombozi

Q & A na Lilian Wasira Kuhusu Album yake ya Nyimbo za Ukombozi

matasha

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
378
Reaction score
400
Wadau, hivi karibuni Lilian Wasira alizindua album yake pale Land mark ya nyimbo za ukombozi. Album ina nyimbo 6 ambazo ni (i) Kwaheri CCM (ii) wakoloni weusi (iii) Mbeleko gani (iv) Mpo wapi leo wamama nchi inaondoka (v) Tunataka ukombozi (vi) Fimbo ya mnyonge ni kura. Nimemwomba tufanye nae mahojiano maalum kuhusu album hiyo naomba kama kuna mtu ana swali aweke atawajibu soon. karibuni
 
Sawa mod JF sasa imeanza kupoteza heshima kwa kutumiwa na watu fulani
 
Huyu nae kaanza lini kuimba?? Au amenitumia FURSA?
 
Ndio nani huyo likian wasira ama ni dawa mpya za minyoo zinaitwa hvo
 
Back
Top Bottom