DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
DadaEbu tuwekee hiyo nyimbo
Sitakiii lini nilikua Dada ako na kuniita hivi kwa heshimaDada
LeoSitakiii lini nilikua Dada ako na kuniita hivi kwa heshima
Yaani wewe na muziki unaonekana tofauti kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani amepatikana?
Au siyo yeye alipotea?
Masihara hayo bosikipaji si chochote si lolote katika maisha... NIDHAMU na AKILI ndio kila kitu museee..
Kwangu mm huyu ni msanii bora kabisa wa muda wote,kipaji halisi kabisa,Habari Jf
Aisee Msanii Q Chillah Anakipaji kikubwa sana ila Tatizo pombe zinamzidi nguvu....Kuna song moja amefanya na msanii anaitwa clicker nyimbo yenyewe inaitwa Sidimba yaani ...nibonge la ngoma.
Ebu...Kisikilizen then mtarudi na Majibu.
Nakusikiliza unasemaje sijawahi kukuona hivi na heshima hii