Q Chillah ana kipaji ila tatizo pombe zinamzidi Nguvu

Q Chillah ana kipaji ila tatizo pombe zinamzidi Nguvu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Habari Jf

Aisee Msanii Q Chillah Anakipaji kikubwa sana ila Tatizo pombe zinamzidi nguvu....Kuna song moja amefanya na msanii anaitwa clicker nyimbo yenyewe inaitwa Sidimba yaani ...nibonge la ngoma.

Ebu...Kisikilizen then mtarudi na Majibu.
 
Ameharibika mpaka sio vizuri.binadamu wengi wakipata wanajisahau
 
Naona unapiga promo,sasa tunasemaje kuhusu kipaji chake tunakijua na hiyo nyimbi hatwendi kuangalia wala kusikiliza.
 
Kwani amepatikana?
Au siyo yeye alipotea?
 
Habari Jf

Aisee Msanii Q Chillah Anakipaji kikubwa sana ila Tatizo pombe zinamzidi nguvu....Kuna song moja amefanya na msanii anaitwa clicker nyimbo yenyewe inaitwa Sidimba yaani ...nibonge la ngoma.

Ebu...Kisikilizen then mtarudi na Majibu.
Kwangu mm huyu ni msanii bora kabisa wa muda wote,kipaji halisi kabisa,
 
Back
Top Bottom