Kama ulikuwepo mkuuYaani wewe na muziki unaonekana tofauti kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
WasiojulikanaQ Chenga yupo wapi siku hizi?
Ni kweli mkuu, walisema kapoteaYaani wewe na muziki unaonekana tofauti kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo vipi Mkuu,Habari Jf
Aisee Msanii Q Chillah Anakipaji kikubwa sana ila Tatizo pombe zinamzidi nguvu....Kuna song moja amefanya na msanii anaitwa clicker nyimbo yenyewe inaitwa Sidimba yaani ...nibonge la ngoma.
Ebu...Kisikilizen then mtarudi na Majibu.