Q Chillah ana kipaji ila tatizo pombe zinamzidi Nguvu

Q Chillah ana kipaji ila tatizo pombe zinamzidi Nguvu

Ukitofautiana na Clouds ktk maslahi usitarajie kushine..

Wanataka ufanye wanachotaka wao na si unachotaka wewe..

Q chief hapendi lamba wachimba chumvi miguu..
 
Habari Jf

Aisee Msanii Q Chillah Anakipaji kikubwa sana ila Tatizo pombe zinamzidi nguvu....Kuna song moja amefanya na msanii anaitwa clicker nyimbo yenyewe inaitwa Sidimba yaani ...nibonge la ngoma.


Ebu...Kisikilizen then mtarudi na Majibu.
Mambo vipi Mkuu,

Hivi huyu msanii clicker unamfahamu vyema..?

Naona kama namfananisha vile.
 
Back
Top Bottom