Wasanii wasasa wanatakiwa wa jifunze, hamna msanii atakayekuwa on fire milele, hata kama upewe promo kila sekunde utashuka tu. Kipindi ambacho upo on peak ndio, kipindi cha kufanya investment (hata kama ela unayopata ni ndogo),mwisho wa siku ndio mtaishia kulia lia, ili uonewe huruma . Kingwendu ana hit song moja lkn amejenga, sasa huyu ana hit song karibia kumi,lkn hata kibanda cha kulala mwenyewe hana.Wenzake Mabaga fresh wapo Kariakoo wanandesha Bajaj, Joslin anauza kiepe Sinza na yy afikirie cha kufanya hapa mjini.