MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
Namsikiliza Msanii Q Chillah Muda Huu, Sielewi hata Anataka Nini? Huruma Ya Watu Ama? Kuacha Muziki mbona ni Mambo ya Kawaida Sana! Wengi Wameacha, Aache Kulia Lia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani amsaidie sasa??,hana ndugu??..watu wote wakitoka hadharani na kusema shida zao ili wasaidiwe patakalika kweli??Qchilla hakujiwekeza nje ya mziki ndio kosa lake
Lakin kuimba kwa kutaka huruma hakuta mrudisha Qchief alokuwa form. Labda wamsaidie ntaji aanzishe biznez tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nani amsaidie sasa??,hana ndugu??..watu wote wakitoka hadharani na kusema shida zao ili wasaidiwe patakalika kweli??
Sawa tu,watu wanakula vumbi mitaani mixer jua kali na bado mambo magumu..yeye anakuja kulialia kuhusu kusaidiwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo ajikite kwenye kucheza biko zaidi eeh
Apambane na hali..kila mtu ana shida zake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo ajikite kwenye kucheza biko zaidi eeh
Jamaa alikosea maisha tuuSawa tu,watu wanakula vumbi mitaani mixer jua kali na bado mambo magumu..yeye anakuja kulialia kuhusu kusaidiwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Apambane na hali..kila mtu ana shida zake