Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
EeehTatizo anaamini sana mambo ya kishirikina.
Huyu jamaa mzinguaji asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EeehTatizo anaamini sana mambo ya kishirikina.
Nilikutana naye duka fulani usiku nikaikumbuka sura nikamuita, alifurahi sana maana hakutegemea kama bado anajulikana. Akanialika kwenye hotel 1 anapiga live band, sema sio mambo yangu sikwenda. Sijajua kama bado yuko bukoba, ila kuna mshkaji aliniambia ndio makazi yake kwa sasa anaishi geto na washkaji (maunderground wa bk). Kiukweli hawa wasanii wakitoka kwenye peak bila kuwekeza wanasikitisha sana, kiafya niliona yuko poa tu sema uso wake hauonyeshi nuru, inaonekana kabisa anastress za maishamwaka jana mei
ana nyimbo inaitwa cancer, iko njiani kutoka. Labla anaanza kuitengenezea promotion(Kick).Namsikiliza Msanii Q Chillah Muda Huu, Sielewi hata Anataka Nini? Huruma Ya Watu Ama? Kuacha Muziki mbona ni Mambo ya Kawaida Sana! Wengi Wameacha, Aache Kulia Lia
Nimeipenda sana hii BrotherNani amsaidie sasa??,hana ndugu??..watu wote wakitoka hadharani na kusema shida zao ili wasaidiwe patakalika kweli??
Tumchangie basi.Ana kipaji ambacho ni mtaji kwake, tayari alisha jenga jina tunamtambua vizuri. Hivi ameshindwa hata kuomba ashirikishwe kwenye wimbo ili aamke kidogo kidogo? Mapromota pia wapo sidhani kama atakosa.
Asitutanie bhana, hlf lile jimama la mombasa lilimbwaga au?
Mi mwenyewe nataka msaada nichangieni halafu nitatoa hapo kidogo kumchangia ChillaTumchangie basi.
Lianzishe [HASHTAG]#Demi[/HASHTAG],
Punguza kutoka fungu la kumi, watu kama hawandio wanastahiri kubugia hilo fungu.😀😀😀Mi mwenyewe nataka msaada nichangieni halafu nitatoa hapo kidogo kumchangia Chilla
[emoji23][emoji23][emoji23] Hamna shida aimbe tu wapenzi wasikilizaji tupo. Kwanza sasa hivi mziki unalipa kuliko hata enzi zile yeye akomae tu.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Alikuwa anatafuta kiki tuuView attachment 784422
Kuna walemavu, wajane, yatima , wagonjwa. Qchilla yupo kundi gani kati ya hayo?Punguza kutoka fungu la kumi, watu kama hawandio wanastahiri kubugia hilo fungu.😀😀😀
Kabisa, jamaa anaimba si mchezoila qjay akipambana anaweza kurudi kipaji anacho sijui amekwama wapi?
nilikutana na q Jay songea vijijiji ndani kachoka balaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] amekua mwanakijiji na yeye[emoji23]
hahahaha siyo mchezo.nilikutana na q Jay songea vijijiji ndani kachoka balaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] amekua mwanakijiji na yeye[emoji23]
yatima na mgonjwaKuna walemavu, wajane, yatima , wagonjwa. Qchilla yupo kundi gani kati ya hayo?
Ukichangiwa na mimi unichangiepo kidogo[emoji23]Mi mwenyewe nataka msaada nichangieni halafu nitatoa hapo kidogo kumchangia Chilla
Hata kama amekuboa sio hivyo Jamaa.Labda anataka kuolewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hamna shida aimbe tu wapenzi wasikilizaji tupo. Kwanza sasa hivi mziki unalipa kuliko hata enzi zile yeye akomae tu.
Anaumwa nini? Bora tumsaidie wastara kidogo anatumia akili kutuchangisha. Kama ni uyatima wapo wengi humu hawana baba wala mamayatima na mgonjwa
Sawa mkuu. Nikishakuchangia usiache kumchangia chillaUkichangiwa na mimi unichangiepo kidogo[emoji23]
[emoji848][emoji848][emoji848]Nitamfikiria, kwa kuwa nitakuwa nimepewa bureSawa mkuu. Nikishakuchangia usiache kumchangia chilla
Q Jay.. daah 'huyu jamaa alivyotoka kwenye game iliniuma sana.nilikutana na q Jay songea vijijiji ndani kachoka balaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] amekua mwanakijiji na yeye[emoji23]