babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kesho utasikia wimbo "shida za dunia zilinifanya nisiache muziki"kiki tu hakuna kingine
Mentor wa DiamondHuyu si ndiyo alimtungia wimbo baba yake mzazi kuwa anamfuatafuata baada ya kuona yeye AMEKUWA TAJIRI!!?
wametengwa na media but hawajatengwa na jamiiQ-Chillah bado ana nafasi kubwa kimuziki. Inabidi asome soko linataka nini kwasasa na aendane nalo.
Pia ashirikishe vijana wanaotamba kwasasa kama Asley, Baraka Da Prince, Dogo Janja n.k.
Ila asiwashirikishe Vijana wa WCB. Hao wameishatengwa na Media hawatomfikisha popote.
Hivi haya majibu mnakua mmeyaandaa au vipiHuyu si ndiyo alimtungia wimbo baba yake mzazi kuwa anamfuatafuata baada ya kuona yeye AMEKUWA TAJIRI!!?
Kinacho mgharimu ni mkataba alio usitisha na yule Engenieur aliye anza naye kazi kwa kumdhamini ilikuwa ni kosa kubwa sana, Q Chillah alisikiliza ushauri mbaya wa watu eti ameshakua ajitegemee na kudai engenieur ana mnyonya familia nayo ikaingilia kati kuwa alisaini mkataba mbovu. sasa asilalamike akubaliane na matokeo ya ushauri mbaya maana alivunja mkataba ina mgharimu sasa.Namsikiliza Msanii Q Chillah Muda Huu, Sielewi hata Anataka Nini? Huruma Ya Watu Ama? Kuacha Muziki mbona ni Mambo ya Kawaida Sana! Wengi Wameacha, Aache Kulia Lia
Namsikiliza Msanii Q Chillah Muda Huu, Sielewi hata Anataka Nini? Huruma Ya Watu Ama? Kuacha Muziki mbona ni Mambo ya Kawaida Sana! Wengi Wameacha, Aache Kulia Lia
Duu hii hatari sana wamrejee mungu wawoo ndiyo lililobaki....na siyo kuomba msaada Mwenye msaada nimungu pekee yakee...Sawa tu,watu wanakula vumbi mitaani mixer jua kali na bado mambo magumu..yeye anakuja kulialia kuhusu kusaidiwa
Ujue hawa jamaa baadhi yao wakiwaga kwenye mafanikio wanakuwa na dharau hata ndugu wanatengananao ndo maana wengi wao wakikosa soko wanatamani wangezaliwa wanawake ili waolewe!
Nimekumbuka Mkuu:Huyu si ndiyo alimtungia wimbo baba yake mzazi kuwa anamfuatafuata baada ya kuona yeye AMEKUWA TAJIRI!!?
Na hapa ndio wasanii wengi wanaumia. Wanasahau kuwa Anaekudhamini/Meneja nae hua anaingia gharama za kukutangaza pamoja na gharama zingine kama malazi, usafiri -wakienda kufanya maonyesho. Wanasahau kuwa huko kukua pia ni juhudi za mdhamini/meneja!!Chillah alisikiliza ushauri mbaya wa watu eti ameshakua ajitegemee na kudai engenieur ana mnyonya familia nayo ikaingilia kati kuwa alisaini mkataba mbovu
Q-Chillah bado ana nafasi kubwa kimuziki. Inabidi asome soko linataka nini kwasasa na aendane nalo.
Pia ashirikishe vijana wanaotamba kwasasa kama Asley, Baraka Da Prince, Dogo Janja n.k.
Ila asiwashirikishe Vijana wa WCB. Hao wameishatengwa na Media hawatomfikisha popote.
Wanajisahau tatizo ss acha ale mavumbi na yyKuna kipindi Diamond alikuwa anamsifia kuwa ni role model wake na alikuwa ana nia ya kumsaidia ila fadhira aliyolipwa na Q Chief ni kuambiwa anamwibia nyota
Nilicheka sana aiseeh... Kweli mziki mgumu siku hiziHahaha Kiki ya kishamba kweli hii