Q Chillah anahitaji msaada gani?

Namsikiliza hapa,naona ni upuuzi tu..hawa wasanii wanafikiri wao ndo wanashida tu hapa tanzania..mwanaume analialia tu kama mtoto wa kike..life is not simple,na hii ni kwa wote
LIFE IS NOT SIMPLE INDEED!!!!
 
Kuna kipindi Diamond alikuwa anamsifia kuwa ni role model wake na alikuwa ana nia ya kumsaidia ila fadhira aliyolipwa na Q Chief ni kuambiwa anamwibia nyota
DIAMOND ATOA OFA YA NGOMA NA VIDEO KWA Q CHIEF | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwaka 2012 kuliibuka bifu kati ya wasanii Q chillah na Diamond Platnumz, na ilikuwa ikionekana kuwa Q-Chillah ndiye mwenye tatizo na Diamond kwa sababu kabla ya bifu hilo Diamond alikuwa anamtaja Chilla kama moja kati ya wasanii waliomfanya kuingia ndani ya β€˜game’ ya muziki wa Bongo Flava, lakini baadaye Q chief alianza kumtuhumu Diamond kuwa anamroga na kuchukua nyota yake.
Clouds fm ilimuuliza Diamond, anatamani msanii gani wa kitambo wa Bongo Fleva angekuwa anafanya vizuri mpaka leo?

Alijibu kuwa Q-Chief anamkubali kwa sababu anajua kuimba na ana miziki ambayo watanzania wanaipenda sana na akaongeza kwa kumpa ofa ya kumlipia video na kushuti ngoma ambayo anaamini itawatoa.......
 
Aliwekeza mkuu ila sema uwekezaji wake haukuendana na imani yake, jamii ikamshambulia. Nakumbuka alifungua mabucha ya nyama ya nguruwe, yaani waisilamu wenzake hawakumuelewa kabisa!
Kuna tofauti kati ya kuwekeza na biashara hiyo ilikuwa biashara, wasanii wafanye uwekezaji!
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ mwambieni hastahamili mtoto wa kiume. Mijni hapa akilialia sana watu watamhifadhi wamhudumie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…