LIFE IS NOT SIMPLE INDEED!!!!Namsikiliza hapa,naona ni upuuzi tu..hawa wasanii wanafikiri wao ndo wanashida tu hapa tanzania..mwanaume analialia tu kama mtoto wa kike..life is not simple,na hii ni kwa wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LIFE IS NOT SIMPLE INDEED!!!!Namsikiliza hapa,naona ni upuuzi tu..hawa wasanii wanafikiri wao ndo wanashida tu hapa tanzania..mwanaume analialia tu kama mtoto wa kike..life is not simple,na hii ni kwa wote
WIMBO GANI HUO.. JINA TAFADHALI.Huyu si ndiyo alimtungia wimbo baba yake mzazi kuwa anamfuatafuata baada ya kuona yeye AMEKUWA TAJIRI!!?
DIAMOND ATOA OFA YA NGOMA NA VIDEO KWA Q CHIEF | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania TodayKuna kipindi Diamond alikuwa anamsifia kuwa ni role model wake na alikuwa ana nia ya kumsaidia ila fadhira aliyolipwa na Q Chief ni kuambiwa anamwibia nyota
AUDIO MUSIC | Q Chief - Si ulinikataa | DOWNLOAD Mp3 SONG - MTIKISO ENTERTAINMENTWIMBO GANI HUO.. JINA TAFADHALI.
Kuna tofauti kati ya kuwekeza na biashara hiyo ilikuwa biashara, wasanii wafanye uwekezaji!Aliwekeza mkuu ila sema uwekezaji wake haukuendana na imani yake, jamii ikamshambulia. Nakumbuka alifungua mabucha ya nyama ya nguruwe, yaani waisilamu wenzake hawakumuelewa kabisa!
[emoji23]Auze hizo ndevu alizofuga naona zimekomaa vzr
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo ajikite kwenye kucheza biko zaidi eeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]na tatu mzuka!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
🙂🙂🙂 mwambieni hastahamili mtoto wa kiume. Mijni hapa akilialia sana watu watamhifadhi wamhudumie!