Q-Chillah ft Patoranking - KOKU

Q-Chillah ft Patoranking - KOKU

Nyimbo nzuri ndio ila sio kwa maskio mengi ya wabongo, jamaa alitakiwa kupigilia verse yake kwa kiswahili. Tatizo la chila amekuwa akidhania kuimba ngeli basi ndo kuonekana anajua au ndo atapata urahisi wa kutoboa, kuna kipindi aliachiaga ngoma kama 2 kaimba ngeli tupu na zote zikabuma then akawa kimya muda mrefu then akarudi na ngoma ya lugha ya taifa inaitwa "mdogo mdogo" ngoma ikafanya poa sana

Hatukatai jamaa kweli ngeli yuko vizuri sana tena kwenye pronunciation ya maneno ila hicho sio ambacho wabongo wengi tunapenda, ndomana mtu kama Diamond siku hizi anaongea ngeli safi kabisa lakini hajitii ujuaji wa kuimba nyimbo kwa kingereza anajaribu kuwa unique kwakuwa lugha yetu kwa sasa inakuwa sana na watu wengi wanajifunzia kupitia nyimbo za wasanii wetu sasa karibia nchi zote zilizoendelea Africa zinaimba kwa lugha ya kingereza sasa wewe mbongo utawapa radha gani tofauti unadhani,

Lugha ya kiswahili kwa sasa inapendwa sana Africa inabidi wasanii wetu hili walijue, na ata ukiimba kisukuma mtu ambae haelewi atapenda tu the unavyo sound, vionjo na ulivyotembea na beat, ndomana wabongo wengi unakuta tunapenda nyimbo za kidhuru, kihispania, kiarabu na ilhali hatuelewi kinachoimbwa ila kwakuwa ni mziki mzuri lazima utaenjoy tu. So chilla aachane na hii dhana ya kudhani lugha ya kigeni itambeba kwenye soko la nje ataishia humu humu mchangani

Kitu kingine alichobugi ni kushindwa kufanya timing nzuri, yani kipindi kipi aachie ngoma yake, kaja kuiachia kipindi kibaya sana kuna ngoma ya darasa ambayo imeficha ngoma kibao kwa sasa so ngoma yake imekosa tension kabia kwa sasa ndomana anakuja na excuse kama kusema eti nyimbo imevuja mara hv mara vile baada ya kuona hajapata kile alichokitegemea, ye alitegemea kwa kumshirikisha patoraking basi ngoma ita trend sana alafu imekuwa tofauti

Hebu waache watu wafanye wanachokuwa huru kufanya,
Na kuimba pia kiswahili haimaanishi wimbo wako unaweza kuwa mzuri,
Kiingereza ni lugha tu kama ilivyo lugha nyingine, tufike mahali tubadilike.
 
Tuko katika mageuzi ya kukuza na kutukuza lugha yetu ya kiswahili, ustuvuruge kingereza kimepitwa wakati hata madem saiv hatuwasaundishi kwa kingereza coz hawakishobokei! badilika we ma q-chief wako
 
Mimi nakuvurugaje na mapinduzi yako?
 
Kuna watu bila kumtaja mondi miwasho haiishi, jamaa kama ni basha basi wanaume wa daa wamekwisha
 
Wimbo mzuri lakin watatoa hayo manyimbo yao hayafiki hata robo ya "MUZIKI" Wa Darassa.
Huku kitaa ni kazi juu ya kazi, Bamba 2 Bamba
MUZIKI ndo habari ya tz kwa sasa.
 
Nyimbo nzuri ndio ila sio kwa maskio mengi ya wabongo, jamaa alitakiwa kupigilia verse yake kwa kiswahili. Tatizo la chila amekuwa akidhania kuimba ngeli basi ndo kuonekana anajua au ndo atapata urahisi wa kutoboa, kuna kipindi aliachiaga ngoma kama 2 kaimba ngeli tupu na zote zikabuma then akawa kimya muda mrefu then akarudi na ngoma ya lugha ya taifa inaitwa "mdogo mdogo" ngoma ikafanya poa sana

Hatukatai jamaa kweli ngeli yuko vizuri sana tena kwenye pronunciation ya maneno ila hicho sio ambacho wabongo wengi tunapenda, ndomana mtu kama Diamond siku hizi anaongea ngeli safi kabisa lakini hajitii ujuaji wa kuimba nyimbo kwa kingereza anajaribu kuwa unique kwakuwa lugha yetu kwa sasa inakuwa sana na watu wengi wanajifunzia kupitia nyimbo za wasanii wetu sasa karibia nchi zote zilizoendelea Africa zinaimba kwa lugha ya kingereza sasa wewe mbongo utawapa radha gani tofauti unadhani,

Lugha ya kiswahili kwa sasa inapendwa sana Africa inabidi wasanii wetu hili walijue, na ata ukiimba kisukuma mtu ambae haelewi atapenda tu the unavyo sound, vionjo na ulivyotembea na beat, ndomana wabongo wengi unakuta tunapenda nyimbo za kidhuru, kihispania, kiarabu na ilhali hatuelewi kinachoimbwa ila kwakuwa ni mziki mzuri lazima utaenjoy tu. So chilla aachane na hii dhana ya kudhani lugha ya kigeni itambeba kwenye soko la nje ataishia humu humu mchangani

Kitu kingine alichobugi ni kushindwa kufanya timing nzuri, yani kipindi kipi aachie ngoma yake, kaja kuiachia kipindi kibaya sana kuna ngoma ya darasa ambayo imeficha ngoma kibao kwa sasa so ngoma yake imekosa tension kabia kwa sasa ndomana anakuja na excuse kama kusema eti nyimbo imevuja mara hv mara vile baada ya kuona hajapata kile alichokitegemea, ye alitegemea kwa kumshirikisha patoraking basi ngoma ita trend sana alafu imekuwa tofauti
original yake kaimba kiswahili
 
Kwa hali hiyo kupata tuzo MTV atasikia kwenye bomba tu na redioni kwa mondi
 
Tuko katika mageuzi ya kukuza na kutukuza lugha yetu ya kiswahili, ustuvuruge kingereza kimepitwa wakati hata madem saiv hatuwasaundishi kwa kingereza coz hawakishobokei! badilika we ma q-chief wako

Sasa si usikilize nyimbo za kiswahili, unalalamika kama kakuimbia wewe.
 
Back
Top Bottom