Narudia tena hujielewiikiwa hapa tunamuongelea q then mtu anaingiza habari za chibu ndo anajielewa au sio
Nyimbo nzuri ndio ila sio kwa maskio mengi ya wabongo, jamaa alitakiwa kupigilia verse yake kwa kiswahili. Tatizo la chila amekuwa akidhania kuimba ngeli basi ndo kuonekana anajua au ndo atapata urahisi wa kutoboa, kuna kipindi aliachiaga ngoma kama 2 kaimba ngeli tupu na zote zikabuma then akawa kimya muda mrefu then akarudi na ngoma ya lugha ya taifa inaitwa "mdogo mdogo" ngoma ikafanya poa sana
Hatukatai jamaa kweli ngeli yuko vizuri sana tena kwenye pronunciation ya maneno ila hicho sio ambacho wabongo wengi tunapenda, ndomana mtu kama Diamond siku hizi anaongea ngeli safi kabisa lakini hajitii ujuaji wa kuimba nyimbo kwa kingereza anajaribu kuwa unique kwakuwa lugha yetu kwa sasa inakuwa sana na watu wengi wanajifunzia kupitia nyimbo za wasanii wetu sasa karibia nchi zote zilizoendelea Africa zinaimba kwa lugha ya kingereza sasa wewe mbongo utawapa radha gani tofauti unadhani,
Lugha ya kiswahili kwa sasa inapendwa sana Africa inabidi wasanii wetu hili walijue, na ata ukiimba kisukuma mtu ambae haelewi atapenda tu the unavyo sound, vionjo na ulivyotembea na beat, ndomana wabongo wengi unakuta tunapenda nyimbo za kidhuru, kihispania, kiarabu na ilhali hatuelewi kinachoimbwa ila kwakuwa ni mziki mzuri lazima utaenjoy tu. So chilla aachane na hii dhana ya kudhani lugha ya kigeni itambeba kwenye soko la nje ataishia humu humu mchangani
Kitu kingine alichobugi ni kushindwa kufanya timing nzuri, yani kipindi kipi aachie ngoma yake, kaja kuiachia kipindi kibaya sana kuna ngoma ya darasa ambayo imeficha ngoma kibao kwa sasa so ngoma yake imekosa tension kabia kwa sasa ndomana anakuja na excuse kama kusema eti nyimbo imevuja mara hv mara vile baada ya kuona hajapata kile alichokitegemea, ye alitegemea kwa kumshirikisha patoraking basi ngoma ita trend sana alafu imekuwa tofauti
poa poaNarudia tena hujielewi
Tuko katika mageuzi ya kukuza na kutukuza lugha yetu ya kiswahili, ustuvuruge kingereza kimepitwa wakati hata madem saiv hatuwasaundishi kwa kingereza coz hawakishobokei! badilika we ma q-chief wakoHebu waache watu wafanye wanachokuwa huru kufanya,
Na kuimba pia kiswahili haimaanishi wimbo wako unaweza kuwa mzuri,
Kiingereza ni lugha tu kama ilivyo lugha nyingine, tufike mahali tubadilike.
Tuko katika mageuzi ya kukuza na kutukuza lugha yetu ya kiswahili, ustuvuruge kingereza kimepitwa wakati hata madem saiv hatuwasaundishi kwa kingereza coz hawakishobokei! badilika we ma q-chief wako
Mbona me naona mbaya tena mb zangu maskiñíWimbo unaitwa koku bonge moja la jam q chillah KABADILIKA SANA namuona level zingne kabisa
Savimbi ni nani maana ilikuwa kila nyimbo lazima amtaje Kama teckno na big sponsorSavimbi babyyyyyy
Savimbi ni nani maana ilikuwa kila nyimbo lazima amtaje Kama teckno na big sponsor
original yake kaimba kiswahiliNyimbo nzuri ndio ila sio kwa maskio mengi ya wabongo, jamaa alitakiwa kupigilia verse yake kwa kiswahili. Tatizo la chila amekuwa akidhania kuimba ngeli basi ndo kuonekana anajua au ndo atapata urahisi wa kutoboa, kuna kipindi aliachiaga ngoma kama 2 kaimba ngeli tupu na zote zikabuma then akawa kimya muda mrefu then akarudi na ngoma ya lugha ya taifa inaitwa "mdogo mdogo" ngoma ikafanya poa sana
Hatukatai jamaa kweli ngeli yuko vizuri sana tena kwenye pronunciation ya maneno ila hicho sio ambacho wabongo wengi tunapenda, ndomana mtu kama Diamond siku hizi anaongea ngeli safi kabisa lakini hajitii ujuaji wa kuimba nyimbo kwa kingereza anajaribu kuwa unique kwakuwa lugha yetu kwa sasa inakuwa sana na watu wengi wanajifunzia kupitia nyimbo za wasanii wetu sasa karibia nchi zote zilizoendelea Africa zinaimba kwa lugha ya kingereza sasa wewe mbongo utawapa radha gani tofauti unadhani,
Lugha ya kiswahili kwa sasa inapendwa sana Africa inabidi wasanii wetu hili walijue, na ata ukiimba kisukuma mtu ambae haelewi atapenda tu the unavyo sound, vionjo na ulivyotembea na beat, ndomana wabongo wengi unakuta tunapenda nyimbo za kidhuru, kihispania, kiarabu na ilhali hatuelewi kinachoimbwa ila kwakuwa ni mziki mzuri lazima utaenjoy tu. So chilla aachane na hii dhana ya kudhani lugha ya kigeni itambeba kwenye soko la nje ataishia humu humu mchangani
Kitu kingine alichobugi ni kushindwa kufanya timing nzuri, yani kipindi kipi aachie ngoma yake, kaja kuiachia kipindi kibaya sana kuna ngoma ya darasa ambayo imeficha ngoma kibao kwa sasa so ngoma yake imekosa tension kabia kwa sasa ndomana anakuja na excuse kama kusema eti nyimbo imevuja mara hv mara vile baada ya kuona hajapata kile alichokitegemea, ye alitegemea kwa kumshirikisha patoraking basi ngoma ita trend sana alafu imekuwa tofauti
Tuko katika mageuzi ya kukuza na kutukuza lugha yetu ya kiswahili, ustuvuruge kingereza kimepitwa wakati hata madem saiv hatuwasaundishi kwa kingereza coz hawakishobokei! badilika we ma q-chief wako
Mondi anaingiajeNyimbo nzuri lkn lugha yetu haikupewa kipao mbele, ndo maana Mondi anazidi kawapiga fimbo