Q Chillah : Mwana FA acha utoto

Q Chillah : Mwana FA acha utoto

Utakuwa humpendi tu kijana wetu Q Chilahhhhhhh.... mbn huna reference yoyote??? afu Q Chila na mondi hawajawahi zinguana nimeona show za mond nyingi tu akiwa na Q. JF siyo sehemu ya kuleta chuki binafsi za watu eti then tuzijadili.. kama humpendi, yeye hajali ilo..naamini hata wewe watu hawakupendi mkuu, tena wanakuchukia haswaa... afu eti unahusisha comment yake na kipaji chake?? hv wewe ni mzima kweli????
 
Mimi toka FA ashindaniahwe na jide enzi zile nilimshusha.
Nakumbuka jide tickets zote sold out. Kwa mwanafa pale makumbusho posta hakuuza. Siti zilikua na magap kibao. Wakaja pale IFM kutuomba tuingie kwa buku 5, watu wakagoma
Basi wakaomba watu waingie bure. Wengine wakakubali wengine hatukuhangaika. Nakumbuka msiba wa ngwair ndo ulifanya show ihairishwe. Jide ndo alianza kutangaza show then FA akatangaza same date. After msiba wa ngwair jide akatangaza tarehe ingine na amount. Fa nae akatangaza same date na kiingilio.
Bado nisimshushe?

Kwa suala la corona kwangu naona wanafanya drammar tuu na Ummy. Yaan as if corona aint big deal.
Kwa upande mmona ina faida kwa kua ile tension ta uoga inapungua lakini hasara yake ni kwamba watu wataichukulia poa pia.
Kwahiyo nimemuelewa vyema chillah.
Kuwa teja haimaanishi mtu hana utimamu wake. chid benz mbona anatema sana madini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana FA aliingilia bifu ya Jide aka Komando na Clouds,,

Kama iyo haitoshi akaja tena kujichanganya kwa Mr II ktk zile harakat za Kinega,,

Hii game watu kama nyie mlioanza kufatilia mzik miaka ile huwa mnaenjoy sana hizi drama [emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kabisaa.
Sijui ana shida gani huyu kijana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipo kujadili kwamba ameugua na kupona huu ugonjwa tunaoambiwa ni tishio la dunia kwa sasa.

Mleta uzi anasema mwana fa amesambaza ujumbe unaohamasisha watu kuchukua tahadhari na kusahau kwamba kwenye ujumbe wake huyo mwana fa kasema huu ugonjwa wa corona si lolote si chochote.

Hiyo ndio akili kubwa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kabisaa.
Sijui ana shida gani huyu kijana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi kile East Coast team si unakumbuka panch line zake,, anajua kugeuza maneno ana utajiri wa maneno ya shombo,, sasa akikutana na Wanaharakati kama Joseph Mbilinyi hawawezi kukaa chungu kimoja,,

Ukimchukua Madee na FA ndo wanawezana hao,,

Game ilishabadilika ushabiki tuliokuwa nao enzi zile tofauti na wa sasa,

Ni ngumu mzik anaoimba yeye au Ay ukakubalika na kizazi cha sasa kinachohitaji malove mda wote. Enz zao zishapita wakubali tu,,

Wenzao wapo mjengoni huko wakina Prof J,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasema kama FA ana corona basi Taji na Konde pia wanayo maana wakitunia mic moja... Chillah tayari ameshakuwa mtaalam wa afya na ameshampima Konde na Taji... Hii ndio Bongo
 
Mtu ukimuona tu jina lake linaanzia ni mwana lazima awe na katabia flani ka "kike" hata kana ni la kisanii. Hivi hata kama ndio alikuwepo kwenye uzinduzi wa Harmonize, ila south sio mbali anaweza kwenda na kurudi lakini bado hainiingii akilini kwamba amejiweka self quarantine, kwani yule mgonjwa wa Arusha baada ya kujiweka self quarantine si aliwapigia simu wahusika na kuja kuchukuliwa na kupelekwa KCMC. Sasa iweje kwa hapa Dar ambapo setikali imetangaza kuwa wagonjwa wa (Covid- dis-neuf) watahudumiwa na Hospitali ya Muhimbili (Mloganzila) sasa kwanini aendelee kuwepo nyumbani kwake? Hizi ni drama za wazi kabisa, watu watamuona Q chillah kama loser lakini pia anaweza kuwa ni best loser. Muda mwingine tujaribu kuunganisha matukio tutagundua vingi sana. Eti ameugua na amepona! Tuache drama.

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Kipindi kile East Coast team si unakumbuka panch line zake,, anajua kugeuza maneno ana utajiri wa maneno ya shombo,, sasa akikutana na Wanaharakati kama Joseph Mbilinyi hawawezi kukaa chungu kimoja,,

Ukimchukua Madee na FA ndo wanawezana hao,,

Game ilishabadilika ushabiki tuliokuwa nao enzi zile tofauti na wa sasa,

Ni ngumu mzik anaoimba yeye au Ay ukakubalika na kizazi cha sasa kinachohitaji malove mda wote. Enz zao zishapita wakubali tu,,

Wenzao wapo mjengoni huko wakina Prof J,

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu imagine eti mtu ameenda south jtatu na j4 amerudi[emoji23][emoji23][emoji119]
Alienda fanya nini. Hizo drammars zitatuuaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom