Q Chillah : Mwana FA acha utoto

Q Chillah : Mwana FA acha utoto

Mtu ukimuona tu jina lake linaanzia ni mwana lazima awe na katabia flani ka "kike" hata kana ni la kisanii. Hivi hata kama ndio alikuwepo kwenye uzinduzi wa Harmonize, ila south sio mbali anaweza kwenda na kurudi lakini bado hainiingii akilini kwamba amejiweka self quarantine, kwani yule mgonjwa wa Arusha baada ya kujiweka self quarantine si aliwapigia simu wahusika na kuja kuchukuliwa na kupelekwa KCMC. Sasa iweje kwa hapa Dar ambapo setikali imetangaza kuwa wagonjwa wa (Covid- dis-neuf) watahudumiwa na Hospitali ya Muhimbili (Mloganzila) sasa kwanini aendelee kuwepo nyumbani kwake? Hizi ni drama za wazi kabisa, watu watamuona Q chillah kama loser lakini pia anaweza kuwa ni best loser. Muda mwingine tujaribu kuunganisha matukio tutagundua vingi sana. Eti ameugua na amepona! Tuache drama.

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
emoji377.png
Ndiyo yule alikuwa anajiita Washington?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nope sio
 
Mwana Fa ni mdananda fulani aliyejitoa akili akitafuta kutoka kupitia siasa kama Daudi Albert Bashite.
 
Enzi za vyama vya wasanii

Sugu alikuwa na chama chake na FA akaanzisha chake Sasa Kuna dili Fulani hivi FA akaleta usnitch jamaa hafai

Sent using Jamii Forums mobile app
Sugu mzee wa Deiwaka,,


"Dar es salaam, Nairobii, Mombasa, Bunjubura Kigali Kinshasa,,,,,,,,

[emoji91]Sugu moto chini

Nliwai soma kitabu chake kinaitwa "From Street to the Parliament"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom