Mimi toka FA ashindaniahwe na jide enzi zile nilimshusha.
Nakumbuka jide tickets zote sold out. Kwa mwanafa pale makumbusho posta hakuuza. Siti zilikua na magap kibao. Wakaja pale IFM kutuomba tuingie kwa buku 5, watu wakagoma
Basi wakaomba watu waingie bure. Wengine wakakubali wengine hatukuhangaika. Nakumbuka msiba wa ngwair ndo ulifanya show ihairishwe. Jide ndo alianza kutangaza show then FA akatangaza same date. After msiba wa ngwair jide akatangaza tarehe ingine na amount. Fa nae akatangaza same date na kiingilio.
Bado nisimshushe?
Kwa suala la corona kwangu naona wanafanya drammar tuu na Ummy. Yaan as if corona aint big deal.
Kwa upande mmona ina faida kwa kua ile tension ta uoga inapungua lakini hasara yake ni kwamba watu wataichukulia poa pia.
Kwahiyo nimemuelewa vyema chillah.
Kuwa teja haimaanishi mtu hana utimamu wake. chid benz mbona anatema sana madini.
Sent using
Jamii Forums mobile app