Qatar 2022 Kwa Sisi wa Kisimbuzi cha Azam ina maana hatupati Kitu? Nasonga Mbele.

Ina maana kwa mimi Mtanzania mwenye kisimbusi cha Azam ndo basi kombe la Dunia Qatar 2022 sipelekwi? Wadau sisi hatutaweza ona hata nusu ya matches? Nimeulizwa hayo maswali sikuweza jibu. Nawasifu sana DSTV kwa kweli.
TBC ipo kila king'amuzi
 
Ina maana kwa mimi Mtanzania mwenye kisimbusi cha Azam ndo basi kombe la Dunia Qatar 2022 sipelekwi? Wadau sisi hatutaweza ona hata nusu ya matches? Nimeulizwa hayo maswali sikuweza jibu. Nawasifu sana DSTV kwa kweli.
Tuliwaambia kwamba hakuna kama DSTV mkabisha , waswahili wengi wananunua Azam kwa sababu ya local soccer , sinema zetu na kiswahili
 
Azam ataonesha kupitia zbc2 lakini hawezi kutangaza kuwa ataonesha..ana enda kimya kimya
 
Nje ya DSTV hakuna uHD wa game ni maigizo tu ya kuangalia jezi ya njano ikishangilia basi Neymar kafunga goli.
Nimecheka mpk nimekua frastruated πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…