Qatar 2022 Kwa Sisi wa Kisimbuzi cha Azam ina maana hatupati Kitu? Nasonga Mbele.

Qatar 2022 Kwa Sisi wa Kisimbuzi cha Azam ina maana hatupati Kitu? Nasonga Mbele.

Tuliwaambia kwamba hakuna kama DSTV mkabisha , waswahili wengi wananunua Azam kwa sababu ya local soccer , sinema zetu na kiswahili
Kibongobongo huku ndo pesa iliko.
Na kanuni ya Bakharesa anapigaa tuu mchele.
 
Ina maana kwa mimi Mtanzania mwenye kisimbusi cha Azam ndo basi kombe la Dunia Qatar 2022 sipelekwi? Wadau sisi hatutaweza ona hata nusu ya matches? Nimeulizwa hayo maswali sikuweza jibu. Nawasifu sana DSTV kwa kweli.
Kwani Karia anasemaje?
 
Back
Top Bottom