Qatar: Hatuwezi na hakuna nchi itakayoweza kufidia gepu la uhitaji wa gesi ya Russia Ulaya

Russia ni baba lao. Kwa sasa itabidi ulaya wabane makalio watulie sindano iingie vizuri.
Mkuu angalia moto huo russia anavyopata kibano hiyo meli ya urusi ikiwa bandarin Kiyv, hapa ndio kuna sindano ya makalio, Ukraine sasa wanashambulia baada ya kujilinda, hili ni anguko kubwa la putini na aila zake

image.png
 
View attachment 2163822
Bandari ya Kyiv hapo UKRAINE ama
Kama kweli jamaa anapaki mpaka meli zake hapo basi shughuli ishakwisha hii nisuala la muda tuu
RUSSIA sio ZIMBABWEE
 
Na hao Russia na wawo waliamini hivyo hivyo shughuli imeisha wakaenda kupaki meli yao ya kivita hapo, dukani hatumwi mtoto
 
Mkuu angalia moto huo russia anavyopata kibano hiyo meli ya urusi ikiwa bandarin Kiyv, hapa ndio kuna sindano ya makalio, Ukraine sasa wanashambulia baada ya kujilinda, hili ni anguko kubwa la putini na aila zake

View attachment 2163822
Kumbe Kiyv kuna Bandari.
Kama hakuna ilifikaje hapo au Warusi walienda kui assemble hapo hapo?
 
Hapo watanzania turuhusiwe ku export kuni na mkaa. Fursa hii, hii nchi tuliambiwa ni Tajiri sanaa
Gas ulaya ni muhimu si kama bongo mnapikia,kipindi cha baridi huwezi ishi ulaya bila gas,kwenye magar nk,hii mambo yenu yakupikia gas ni sawa lakini sio muhimu kuliko hayo matuz mengine
 
Kumbe Kiyv kuna Bandari.
Kama hakuna ilifikaje hapo au Warusi walienda kui assemble hapo hapo?
Walidhani washaiteka Kiev sasa hicho ndicho kilichotokea, wamerudishw nyuma 100kilometers, sasa ukraine anashambulia, putin anafkiria nuclear tu ground ameshindwa
 
Back
Top Bottom