QATAR na ishu ya FIFA World Cup kuchezwa NOV-DEC 2018... Rushwa waziwazi!

QATAR na ishu ya FIFA World Cup kuchezwa NOV-DEC 2018... Rushwa waziwazi!

stineriga

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
2,172
Reaction score
887
yani nanusa harufu ya rushwa wazi wazi, japo sina ushahidi. Babu Sepp Blater wala hana haya atakuwa kavuta milions kadhaa, wajumbe wa bodi ya FIFA nao watakuwa wanakenua tu akaunti zao zitakuwa zinasoma 000,000s kadhaa! Kweli pesa ni mbaya ulaya nao wameufyata?!

yani ratiba za michezo yoote duniani ibadilike kisa QATAR kuandaa kombe la Dunia ? Kwani ni lazima hilo kombe la Dunia lichezwe QATAR ?

Hivi ingekuwa ni kanch fulani kamaskin kanch ka afrika au latin amerika ndio kamepata complications kama za QATAR si ingepokwa tu fwasta na nch nyngne kupewa iandae ?

shikamoo rushwa!
 
Back
Top Bottom