Ninaposoma baraka za Ibrahim,naona wazi kabisa kama vile wapo watu wanaofurahia nchi ya maziwa na asali.
Nikiangalia nchi hii ya Qatar imebarikiwa na chemi chemi ya mafuta kiasi kwamba hata mtu asiye na ajira wala kazi analipwa na serikali dola 2000 kila mwezi.
Watu hawalipii matibabu,mtu anaita ambulance inakuja jumchukua nyumbani,akihitaji rufaa nje ya nchi kuna Air ambulance inalipiwa na serikali.
Watu walioajiriwa serikalini wanafanya kazi masaa matatu tu kwa siku.
Muda mwingi wanautumia kwa burudani,kuendesha magari makali na michezo ya kifahari.
Hii ni nchi iliyojaa maziwa na asali.
Wanatheolojia,maandiko yanasena nini kuhusiana na nchi kama hii?Je ni kweli maandiko yalinyamaza kabisa au wanatheolojia ndio wamenyamaza?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app