#COVID19 Qatar yasema watakaopata Chanjo pekee ndio wataruhusiwa kushuhudia Kombe la Dunia

Ni lazima walinde raia wao COVID-19 ni tishio kubwa sana .
Mkuu umethibitisha kwamba covid 19 ni tishio kubwa sana ... au unanukuu vyombo vya habari vya nje?
 
Kwani huoni uchumi wa dunia ulivyoanguka na mamilioni ya waajiriwa katika nchi mbali mbali kupoteza ajira zao na biashara nyingi kufungwa!?

Watu wanapokea 666 pasipokujua, ni hatari sana

Hii inshu imeanza kama option kwa sasa ila amini kwamba huko mbeleni wasiopigwa chanjo watatengwa, hawataruhusiwa kufanya chochote wala kwenda popote na ndio maana halisi ya 666 na mwisho ni kifo.

Wacha leo tuone kama mzaha mzaha tu
 
Kwani huoni uchumi wa dunia ulivyoanguka na mamilioni ya waajiriwa katika nchi mbali mbali kupoteza ajira zao na biashara nyingi kufungwa!?
Naona waliweka lockdown, kila ukifungua habari una sikia hayo hayo tu pamoja na kuwajaza qatu hofu na vitisho..

Kiufupi haya mambo yanachanganya sana , na yapo nke ya uwezo wetu, wenye fedha waniendesha dunia watakavyo!!
 
Hii inshu imeanza kama option kwa sasa ila amini kwamba huko mbeleni wasiopigwa chanjo watatengwa, hawataruhusiwa kufanya chochote wala kwenda popote na ndio maana halisi ya 666 na mwisho ni kifo.

Wacha leo tuone kama mzaha mzaha tu
Ni kwamba huu ugonjwa ulianzishwa kwa madhumuno hayo au madhumuni ni biashara ya chanjo??
 
Hakuna kuendesha dunia watakavyo. Unadhani ni nchi ipi itakubali kuona raia wake 5,000 wanakufa Kwa siku Kwa ugonjwa walioupata siku chache tu halafu wasichukue hatua zozote kupambana?
Naona waliweka lockdown, kila ukifungua habari una sikia hayo hayo tu pamoja na kuwajaza qatu hofu na vitisho..

Kiufupi haya mambo yanachanganya sana , na yapo nke ya uwezo wetu, wenye fedha waniendesha dunia watakavyo!!
 
Hakuna kuendesha dunia watakavyo. Unadhani ni nchi ipi itakubali kuona raia wake 5,000 wanakufa Kwa siku Kwa ugonjwa walioupata siku chache tu halafu wasichukue hatua zozote kupambana?
Sawa mkuu ngoja wajikinge
 
Saudia walitangaza kama hivyo kwa wanaotaka kwenda kuhiji ila sijui wakaonaje tena sasa sijui na hawa itakuaje?
 
Ngoja tuone...

Chanjo moja US$600 na unatakiwa upate mbili...
 
Nimejaribu kufikiria naona maneno ya bishop gwajima kama ni kweli hivi. Anyway ngoja tusubiri muda ufike
 
Asante Kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…