Qatar yatajwa kuwa na GDP kubwa Asia Magharibi

Kiuhalisia bila kupendelea, ukiulizwa nchi ya kwanza kwa utajiri na GDP kubwa duniani ni hako kanchi kadogo. Nilifikiria ni Marekani kumbe sivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona maandalizi ya kombe la Dunia hapo kwao, jamaa wana pesa. Halafu population yao ni million 2.
 
Kiuhalisia bila kupendelea, ukiulizwa nchi ya kwanza kwa utajiri na GDP kubwa duniani ni hako kanchi kadogo. Nilifikiria ni Marekani kumbe sivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni per capital (pato la ndani la taifa gawanya kwa wananchi wote)

Kuna utofauti kati ya gdp (ambayo ni pato la ndani la taifa) na gdp per capital (ambayo ni pato la ndani la taifa gawanya kwa kila kichwa/ wananchi wote)

Sioni mfano wenye urahisi kukuelewesha nadhani mamlaka husika inatakiwa kuongeza vifupi vya maneno ya kiuchumi ili kusaidia kuachana na lugha hizi za kigeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…