Qatar Yatengeneza Uwanja wenye kontena

Qatar Yatengeneza Uwanja wenye kontena

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Nchi ya Qatar ambayo ndio mwenyeji wa Mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2022 wameamua kutengeneza uwanja wa Mpira wa miguu ambao umetengenezwa kwa kutumia makontena.

Qatar imefikia uamuzi huo ili kuwezesha Kombe la Dunia kuchezwa katika uwanja huo na baada ya Kombe la Dunia la mwaka huo wa 2022 kuchezwa uwanja huo utasambalatishwa ili shughuli zingine ziendelee.

Uwanja huo utachukua Zaidi ya mashabiki 40,000 na utakuwa na sifa zote za kuwa uwanja wenye vigezo kuchezewa Kombe hilo. Makontena hayo yatapangwa chini na uwanja utakuwa juu ya makontena.

View attachment 2030673
View attachment 2030674
View attachment 2030675
View attachment 2030676
 
images (5).jpeg
images (4).jpeg
images (3).jpeg
images (2).jpeg

Picha kutoka Google
 
Nchi ya Qatar ambayo ndio mwenyeji wa Mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2022 wameamua kutengeneza uwanja wa Mpira wa miguu ambao umetengenezwa kwa kutumia makontena.

Qatar imefikia uamuzi huo ili kuwezesha Kombe la Dunia kuchezwa katika uwanja huo na baada ya Kombe la Dunia la mwaka huo wa 2022 kuchezwa uwanja huo utasambalatishwa ili shughuli zingine ziendelee.

Uwanja huo utachukua Zaidi ya mashabiki 40,000 na utakuwa na sifa zote za kuwa uwanja wenye vigezo kuchezewa Kombe hilo. Makontena hayo yatapangwa chini na uwanja utakuwa juu ya makontena.
Kumbe ni mdogo ukilinganisha na wa Mkapa ambao tuliambiwa unachukua mashabiki elfu sitini
 
Back
Top Bottom