Qt; nini kinahitajika hapa?

Qt; nini kinahitajika hapa?

Nyanidume

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
2,393
Reaction score
1,102
Habari zenu wasomi? Mimi niliwahi kusoma hii elimu ya sekondar ya miaka 2 yaan QT. Nilisoma mwaka 1, nilipofanya mtihan wa form2 majibu yalipotoka nikawa nimafaulu ila nilishindw kuendelea kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.....
 
....huo ulikuwa mwaka 2008, sasa ni miaka 4 imepita tangu nilipofanya ule mtihani, swali langu ni hili; je naweza kuendelea pale nilipoishia ili nifanye mtihani wa form4? na kama naweza kinahitajika kielelezo gani ili baraza linitambue? Ahsanteni.
 
Habari zenu wasomi? Mimi niliwahi kusoma hii elimu ya sekondar ya miaka 2 yaan QT. Nilisoma mwaka 1, nilipofanya mtihan wa form2 majibu yalipotoka nikawa nimafaulu ila nilishindw kuendelea kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.....

Hakuna kitu kama hicho. Hapo ni kuanza upya tu.
 
Ndiyo mkuu cause system itakuwa imeshakusahau

Ahsante sana mkuu, maana nilikuw bado nna tamaa na suala hilo sbb niliwauliza baadh ya watu huku mtaan waliniambia kwamba hata nikae miaka 10 naweza anzia pale nilipoishia
 
Back
Top Bottom