Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka zinaruhusiwa, huwa naona watu wanendesha tu huku maeneo yetu.Wadau naomba kuuliza kama quad bikes zinaruhusiwa kisheria kutumika kama chombo cha usafiri Tanzania.View attachment 1537589
Naziona zipo kwa uchache sana lakiniWadau naomba kuuliza kama quad bikes zinaruhusiwa kisheria kutumika kama chombo cha usafiri Tanzania.View attachment 1537589
Zinaruhusiwa...Nahisi wabongo hawajshtukia kwamba quad bike inaweza tumika kama chombo cha usafiri wa kila siku lakini pia bei ziko juu kidogo kwa brands kubwa kama Yamaha, Honda.
Sijajua lakini kama nikiwa dar naona kuendesha piki piki ni risky kuliko nikitumia four wheeler (quad bike). Pia ni cheap kuihudumia kuliko Gari[emoji29]Zinaruhusiwa...
Quad mzigo tu....bora pikipiki kuliko quadbike...uendeshaji na inakula mafuta kuizidi pikipiki.
Hiyo raha yake uwe unaendesha kwa hobby tu sio usafiri wa kila siku.
Nchi gani wanazitumia kama usafiri wa kila siku?
Yaani ukiitumia kama usafiri kila siku ukifika nyumbani utakuwa umechoka hatari. Ukizingatia ni mwanamke.Sijajua lakini kama nikiwa dar naona kuendesha piki piki ni risky kuliko nikitumia four wheeler (quad bike). Pia ni cheap kuihudumia kuliko Gari[emoji29]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],picha tu hiyo chief.Yaani ukiitumia kama usafiri kila siku ukifika nyumbani utakuwa umechoka hatari. Ukizingatia ni mwanamke.
Na za bei ya kawaida zina cc ndogo saana. Ukitaka ya cc kubwa unaona afadhali ninunue gari.
Kwenu wapi?Bila shaka zinaruhusiwa, huwa naona watu wanendesha tu huku maeneo yetu.
Karibu kahama.Kwenu wapi?
Lakini hilo si utakaa foleni tu kama waendesha magari?Sijajua lakini kama nikiwa dar naona kuendesha piki piki ni risky kuliko nikitumia four wheeler (quad bike). Pia ni cheap kuihudumia kuliko Gari[emoji29]