Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapigaje suti halafu unapanda hako kadude eti unaenda kazini si utaonekana kituko njiani.Quad bike sio kwa ajili ya watoto japo toys pia zipo.
Shukran chief.Unaruhusiwa kuitumia, kwa Tanzania watu wachache wanazo.
Ukiwa nayo hiyo ni salama na ulaji wa mafuta kwa injini za 250-450cc ni kawaida sana.
Quad bike za kisasa zinatumia electric fuel injection sio carburetor na sio nzito kama watu wanavyozani kwa kuona tyre 4.
Mkuu usiogope maneno ya watu, hiyo quad bike ya kisasa ina suspension nzuri huchoki na kwenye accelerate unatumia button ili kuongeza usalama pale unapokata kona ili usijekuleta mistake ya chombo kujilesi.Shukran chief.
Used ya bei ya chini unaweza kupata kuanzia million 7hizi Quad bike zinauzwa bei gani?
Zinaruhusiwa...
Quad mzigo tu....bora pikipiki kuliko quadbike...uendeshaji na inakula mafuta kuizidi pikipiki.
Hiyo raha yake uwe unaendesha kwa hobby tu sio usafiri wa kila siku.
Nchi gani wanazitumia kama usafiri wa kila siku?
Pikipiki options zipo nyingi mkuu.Haiwezi kuwa sababu ziko piki piki zinakula wese utazan kagari kadogo hapo napo unasemaje au wewe ukisema piki piki unawaza TVs