Qualified Baker of Bread And Pastries/ Muoka Mikate na Keki

Qualified Baker of Bread And Pastries/ Muoka Mikate na Keki

Kisaro

Member
Joined
May 22, 2009
Posts
16
Reaction score
5
Natafuta mtaalamu wa kuoka mikate ya aina mbalimbali, keki, biskuti , donut, maandazi.

Awe na cheti kutoka Veta/ chuo cha utalii ama taasisi nyingine zinazotambulika. Mahala pa kazi ni Dar es Salaam, Kijitonyama. Awe tayari kufanya kazi kwa shifti- mchana ama usiku, na pia awe mbunifu.

Tafadhali piga simu namba: 0621878809 ama tuma barua pepe :[email protected]
 
Mkuu yupo mdada hana cheti. Anatafuta ajira. Mwepesi wa kujifunza na kuelewa. Vp nkuunganishe
 
Back
Top Bottom