Qualified Baker of Bread And Pastries/ Muoka Mikate na Keki

Kisaro

Member
Joined
May 22, 2009
Posts
16
Reaction score
5
Natafuta mtaalamu wa kuoka mikate ya aina mbalimbali, keki, biskuti , donut, maandazi.

Awe na cheti kutoka Veta/ chuo cha utalii ama taasisi nyingine zinazotambulika. Mahala pa kazi ni Dar es Salaam, Kijitonyama. Awe tayari kufanya kazi kwa shifti- mchana ama usiku, na pia awe mbunifu.

Tafadhali piga simu namba: 0621878809 ama tuma barua pepe :lediwa@gmail.com
 
Je wajua kutengeneza, keki aina mbalimbali na biskuti? Na unatafuta ajira?
Tafadhali piga simu namba: 0621878809 ama tuma barua pepe :lediwa@gmail.com
 
Mkuu yupo mdada hana cheti. Anatafuta ajira. Mwepesi wa kujifunza na kuelewa. Vp nkuunganishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…