Quality Group kwa T shirt za Yanga.

Quality Group kwa T shirt za Yanga.

Sijui Watz au Afrika we are poor because we are poor!
Nilikuwa nawaza mfano zile jezi za Taifa stars tu za watoto na wakubwa. Tunaona zinasambazwa kitambo sasa na haijulikani ni nani anahusika na utengenezaji wake, lakini fikiria endapo zimetengenezwa pieces million 5 x 10,000/- ya bei = 50,000,000,000/- au billion 50. Na kama labda mtu alitumia billion 20 kugharamia hayo yote ina maana anakuwa na faida. Kuna pia zile sweta za watoto wa shule hasa za msingi zenye rangi ya bendera, naona zimesambaa sana lakini sijui kama ni mimi pekee nisiyejua zinatengenezwa na nani na ni nani anajua ziko piece ngapi!
Kwa maana hiyo hata jezi za simba, yanga nk wazo lake linaanzia hapo wala hakuna miujiza mingine.
 
Pesa za usajiri, kambi, na mishahara ya wachezaji anatoa nani?
 
Na filosofi kama hizi ni katika kuhalalisha uongo kuwa bila Manji, Mo nk hakuna simba wala Yanga.
Lakini tusisahau kuwa hizi timu zimekuwepo kabla hawa watu hata hawajazaliwa. Kiuendeshaji inabidi tukubaliane kwamba wao wanatumia mfumo wa 'kiswahili' kuendesha hizi timu na ndio maana Azam alishindwa na kuamua kuanzisha mfuimo wa kisasa na anaenda mbele. Sana sana tutajifariji na mfano wa TP Mazembe hapa!
Ni bora kuwaachia wenye hizi timu waziendeshe wanavyotaka badala ya kutumia ujanja ujanja ili kuonakana unazifadhili wakati ukweli unafadhiliwa. Tuache kujidanganya kwamba timu zilizofanikiwa duniani haziendeshwi na wanachama, sio kweli maana maisha ya kijamii, kiuchumi, kisheria, kisiasa nk ya UK, USA, Ujerumani, Ufaransa nk ni tofauti na Tanzania. Kama ni pesa mbona hatujiulizi ni kwa nini India hakuna timu tishio wakati wana mabilionea na uchumi mkubwa! ?
 
Wakuu nimeona leo Yanga wamevaa T-shirt zenye maneno ya Quality Group.
Je inamaana tayali yule Manji alishakodishwa ile timu ya pale mitaa ya Jangwani?.
Na kama ndio kwa hiyo tutegemee kesho kutangaziwa faida au hasara?.
Hivi mkiani wameshatoka ??
 
Hii ya Jana Kule mkiani ninauliza maana dah mechi zoote hizi wao , nadhan sasa c wakimataifa ila Wa mkiani au?
 
Hizi klabu zinaendeshwa kisanii,mashabiki wengi wenye idea nzuri sio wanachama so wanapiga porojo tu
Mkuu mpira ni pesa ndo maana miaka yote hao wanachama hawajaweza kuzipeleka mbele,acha tujaribu kwa njia hii labda tutatoka,ikigoma tutajaribu nyingine ikibidi hata kuuza kabisa tubaki kuwa mashabiki.
 
Sijui Watz au Afrika we are poor because we are poor!
Nilikuwa nawaza mfano zile jezi za Taifa stars tu za watoto na wakubwa. Tunaona zinasambazwa kitambo sasa na haijulikani ni nani anahusika na utengenezaji wake, lakini fikiria endapo zimetengenezwa pieces million 5 x 10,000/- ya bei = 50,000,000,000/- au billion 50. Na kama labda mtu alitumia billion 20 kugharamia hayo yote ina maana anakuwa na faida. Kuna pia zile sweta za watoto wa shule hasa za msingi zenye rangi ya bendera, naona zimesambaa sana lakini sijui kama ni mimi pekee nisiyejua zinatengenezwa na nani na ni nani anajua ziko piece ngapi!
Kwa maana hiyo hata jezi za simba, yanga nk wazo lake linaanzia hapo wala hakuna miujiza mingine.
Hizo pieces 5 million zitauzwa wapi? Tanzania yetu hii hii au nyingine?
 
Hivi watu wanaelewa gharama ya kuendesha timu kama Yanga?
 
Hizo pieces 5 million zitauzwa wapi? Tanzania yetu hii hii au nyingine?
Mimi sina uhakika lakini kila ninakopita kutokea Newala hadi Kyerwa-Karagwe, Bumbuli hadi Nkasi nk naona watu wamevaa jezi za Taifa Stars au zile sweta za shule za msingi na sekondari zenye rangi za bandera ya taifa. Sasa ukifikiria Watanzania takribani milioni 50 ni wazi jezi hizi zinavaliwa na walau 10% ambao ni kama hiyo milioni 5. Na hapo bado hatujahamasishana kuzinunua na kuzivaa. Kumbuka Yanga/Simba zinadai zina wapenzi zaidi ya milioni 6 kila moja.
Hesabu yangu inaanzia hapo kutokana na observation na kama kuna mwenye data sahihi anaweza kutuwekea ili kujadiliana vizuri. All in all, anayezitengeneza hizi anajulikana1?
 
Mimi sina uhakika lakini kila ninakopita kutokea Newala hadi Kyerwa-Karagwe, Bumbuli hadi Nkasi nk naona watu wamevaa jezi za Taifa Stars au zile sweta za shule za msingi na sekondari zenye rangi za bandera ya taifa. Sasa ukifikiria Watanzania takribani milioni 50 ni wazi jezi hizi zinavaliwa na walau 10% ambao ni kama hiyo milioni 5. Na hapo bado hatujahamasishana kuzinunua na kuzivaa.Kumbuka Yanga/Simba zinasema zina wanachama na wapenzi zaidi ya milioni 6 kila moja.
Hesabu yangu inaanzia hapo kutokana na observation na kama kuna mwenye data sahihi anaweza kutuwekea ili kujadiliana vizuri. All in all, anayezitengeneza hizi anajulikana1?
Kuna detail ndogo inabidi kuijuisha kwenye hesabu. Wavaaji wengi vijijini hawakununua moja kwa moja. Badala ya kutupa, mtu alimpa ndugu yake.
La pili tunajua nyingi au asilimia kubwa ni fake hakuna mtengenezaji maalum. Zingeuzwa angalau laki tano tu kwa mwaka kwa njia sahihi, bado si haba!
 
Sasa kama mtu mmoja alinunua tatu mbili akampa ndugu yake si muuzaji anakuwa amepata pesa ya piece tatu regardless zitavaliwa na nani.
Pia kudhibiti ni nani azitengeneze na ni nani aziuze ndipo tunapata uhalali wa 'kujiita binadamu'. Maana kama taasisi kama yanga au simba yenye mtandao nchi nzima na hata nje haiwezi kujua ni nani anazitengeneza na kuzisambaza basi wanaojiita wamiliki watakuwa na upungufu mkubwa kwanye bongo zao. tusikubali aibu hii itukumbe!
Ndio maana hata JPM anasema kama watu wanatoa bure makontaina na hawalipi kodi basi ni bora wasiyalete.
 
Kuna tofauti kama kila mvaaji ananunua mwenyewe. Kuuza tu jezi laki moja kwa mwaka ni shughuli pevu sana
 
...."The best way to predict the future is to create it!" ...why shouldn't we base on your signature for moving forward!?
Hii itatusaidia kuepuka kuwa among us some are inferior and others superior like those pretending to take over these clubs!
 
Yes indeed. Creating the future, but being realistic as well. We can aim at 100,000 per year to start with not 5 million.
 
Mkuu mpira ni pesa ndo maana miaka yote hao wanachama hawajaweza kuzipeleka mbele,acha tujaribu kwa njia hii labda tutatoka,ikigoma tutajaribu nyingine ikibidi hata kuuza kabisa tubaki kuwa mashabiki.

Simba na Yanga pesa zipo nyingi sana. Sema hakuna weledi kwenye kuziendesha.
 
Back
Top Bottom