Quality ipi ni nzuri ya A4 ream paper?

Quality ipi ni nzuri ya A4 ream paper?

alikhalef

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
717
Reaction score
74
Habari wakuu
A4 ream paper ya aina ipi ni nzuri hapa tanzania?
na bei zake zinaendaje?
natanguliza shukrani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Ukipata Double A ni balaa....(Ila hazipatikani kirahisi)

Ila Number 1 pia ni nzuri hata Dolphin...
 
Je bei ya box ya five rim ni ngapi wadau....ni biashara nzuri hii
 
Nopa ndio best hizo nyingine huwa wanachakachua sana ila upatikanaji wake ndio tatizo
 
mondi ni bei gani kama unataka pc nyingi kama box 100?
 
Habari!
Vipi Bei ya carton kwa bei ya jumla kwa dar ni bei gani kwa carton maanake nataka carton nyingi
 
Back
Top Bottom