Quality Lodges: The Serengeti vs Masai Mara

Singita Mara River Tented camp-Serengeti

Singita_Mara_River_Tented_Camp_6.jpg

Singita_Mara_River_Tented_Camp_10.jpg

Singita_Mara_River_Tented_Camp_7.jpg

Singita_Mara_River_Tented_Camp_16.jpg
 
Na Hii revenue ya Tourism industry Tanzania inaenda wapi juu bado wako LDC? There is something terribly wrong in Tanzagizastan.
 
I have no idea..... The other thing is their 7% plus economic growth for the last 15 years and there is Nothing to write home about.
 
Probably they cook data to hoodwink their gullible ccm fanatics who by any chance ate the majority.
 
Tunajenga reli na dam kwalutumia pesa za tourism😀😀 Israel imesema mtaliona jua utosini😀😀
Huko kwenu Congo naskia Jean Pierre Bemba amewachiliwa hebu tupe maendeleo ya Kivu na Lubumbashi achana na ya wenyewe. Leo unaliwa bata na wanamgambo wa mai mai?
 
Tunajenga reli na dam kwalutumia pesa za tourism😀😀 Israel imesema mtaliona jua utosini😀😀
Hahah afadhali umelijibu hili lipunga! Khaa Ila jua la utosi doh...🙄😀
 
Yaani mtu anajisifia katika National Park wana Hotel nyingi? Tena Masai mara ambayo ni ndogo mara kumi ya Serengeti. Mmejaza mabanda mbugani na unajisifia? Sasa hiyo National Park Au ishakua CBD? [emoji23]. Yaani wanyama sasa watakua wanashangaa majengo na magari maana ni mengi kuliko wanyama, Ndio maana Bongo tunakamua mkwanja mrefu ( Hotel Chacha halafu Quality, Kwa sababu Park zenyewe ni quality na low density hivyo ni lazima iwe high priced , sasa kama mijihotel kibao hata ya dola kumi ipo, Ma hiace kibao mnapolute tu nature. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sifa zingine zinumbua mambo mengi sana.
 
Nashukuru umemueleza! Kuna mpaka za $ 10! 😛
Hawahawa walikuwa wanalilia kufungua Bolongoja gate waliposhindwa wakaja na gia ya one visa! Tukawachomolea pia. Sasa hivi wanachochea wamasai kudai kurudi Lokiondo. Wanafadhili Kesi yao EA court.
 
Jabali ridge, asilia africa. Ruaha national park, Iringa.
FB_IMG_15722880242656398.jpeg
FB_IMG_15722880379104245.jpeg
 
Back
Top Bottom