Quality of Roads: Tanzania vs Kenya

Quality of Roads: Tanzania vs Kenya

Taarifa kutoka tanroad wakala wa barabara infact utake usitake ukweli utabaki kua huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hali halisi.
IMG_20200326_021848_826.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jo'burg ligi ya Nairobi bro.
Dark Es Sluum ligi ya Mombasa.
Hayo majiji utakuwa unayacheki kwenye TV...Nairobi haiwezi shindana hata na Durban.. Itoe sauzi hapo,hapa ni tz na kny....Halafu Mombasa ni ya kushindana na kina Zanzibar na Mwanza huko.
 
Durban, Nairobi, Johannesburg, Pretoria, Capetown, Cairo, Rabat, Tunis, lagos na Algiers ni ligi moja.

Dark Es Sluum, Mombasa, Kampala, Kigali, Maputo, lilongwe, Lusaka, Addis Ababa na Accra ni ligi moja.

Mwanza, Mandera, Garrisa, Isiolo, Dodoma, Arusha, Bujumbura, Mogadishu, Morogoro and other villages ni ligi moja.
 
Wewe inaonekana umezaliwa kibera ukakulia hapo na hujawahi toka nje ya hapo....rudi kwenye mada sasa
 
Mombasa 17km dual carriageway
Screenshot_20200325-220902.png

Dark Es Sluum
Nionyeshe dual carriageway Tz zaidi ya Km16
Screenshot_20200325-220919.png

Tupo kwenye mada Sasa? 😁
 
Back
Top Bottom