Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
- Thread starter
- #161
Naam,Kila nafsi itaonja umauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam,Kila nafsi itaonja umauti
Sawa mkui watu wanatulazimisha kwamba ubongo ndo kila kitu, wakati ulitazama kwa makini MACHO NDO KIBOKO YAO.Na wajuao wanakwambia haswa likifunguka la tatu..kwa mimi ninavyofahamu kuwa , roho ya binadamu ndo inayojua kila jambo unalolitaka, la hata lisaa limoja baadae, ina majibu na maswali yote unayojiuliza, yaan kwa kifupi ina kila kitu ila sasa binadamu tumepotezwa tunaaminishwa kuwa akili zetu au bongo zetu ni kila kitu, na kuwa zinauwezo mkubwa kuliko ila ni big no, mifumo ya elimu ya dunia,ma vyombo ya habari yanatuondolewa uwezo wa kuisikia roho yetu inasema nn, so tunazidi kujiwekea ukuta ya kusikia roho zetu zinataka nn.
QUANTUM IMMOTALITY
Wasaalam
kuna mtaalamu alipata kusema
"UBONGO WA MWANADAMU HAUJAWAHI KUWAZA KITU AMBACHO HAKIPO AU HAKIJAWAHI kuwahi KUWEZEKANA AU KUJA KUWEZEKANA"
kama hujanielewa kwenye nukuu hiyo utakuja na maswali mengi kwenye baadhi ya vipengele huko chini.
Tumejifunza vingi sana kuhusu maisha na vilivyo nyuma ya maisha ya kawaida
Na WAKATI MWINGINE inatakiwa tukubali kuwa kuna NGUVU nyingine inayoendesha na kutawala hii dunia yetu tofauti na ubidamu
Wazungu wamekuwa na michezo ya kutuchezea bongo zetu ,,,,kwa namna mbalimbali na kwa mambo ambayo hatukuwahi hata kuyafikiria
Dan Brown mwandishi nguli wa Vitabu vya fiction alipata kusema fiction nyingi huwa zinapenyeza ujumbe ulojificha
Sasa hapa utaongeza mwenyewe kama utaona kama fiction movies mfano wa movie za marvel nazo ziko kwa njia ya kufurahisha au kuleta na ujumbe pia
Ni wewe na imani zako, kwa sababu imenenwa imani huponya
Vladmir Putin, Raisi wa urusi ni kati ya watu wanaodhaniwa kuwa ni "immortal people" watu wasiokufa
View attachment 1680948
RAISI WA URUSI VLADMIR PUTIN
Ushawahi kusikia nadharia ya QUANTUM IMMORTALITY basi huyu bwana hio nadharia amehusishwa nayo sana
Quantum immortality ni uwezo wa kukwepa kifo hii inahusu uzoefu na uwezo binafsi wa kujua hatari za kifo na kukwepa ni kama inaelezwa pia ni kama kujiua kwa kiasi.
Wazo hili wakati mwingine linafikiriwa kuwa linatumika kwa sababu za ulimwengu ambao sio halisi (huu tuliopo sisi)
Wataalam wengi wanakazia kuwa jaribio au wazo linalohusiana na kukwepa kutokufa halitafanya kazi katika ulimwengu huu wa kweli tuliopo sisi.
Ni vyema ukaenda kwa mtandao kujifunza zaidi kuhusu hio nadharia. (wameelezea hadi namna inavyofanyika)
Watalamu wanoelezea nadharia hii wanasema kuwa watu wa mtindo huu wanauwezo wakutumia asilimia 50% ya ubongo.
ikumbukwe wataalamu wengine pia wana nadharia nyingine isemeyo binadamu wakawaida (yaani mimi na wewe ) tunatumia asilimia 2-1% tu ya uwezo wa bongo zetu
watu ambao wamefanya maajabu makubwa katika ulimwengu kwa gunduzi mbalimbali ,, mfano Albert Eistein, Isaac newton, Hawking na Nikola Tesla inaelezwa ndiyo baadhi waliojaribu kutumia japo aslimia 10%-15% ya bongo zao.
Nadharia hiyo ilienezwa na mwandishi LOWELL THOMAS ,na kuna movie kadhaa zinaelezea nadharia hii...na zimejaribu kuonesha kama binadamu atatumia asilimia 100% ya ubongo wake mambo yatakuwa vipi
Lakini nadharia hio imepingwa na wanasayansi wengi wakiamin kila mtu ubongo wake unafanya kazi kwa asilimia 100%
Putin anahusishwa na nadharia hii kutokana na matendo mbalimbali ya ajabu ambayo anahusishwa nayo
Hata hivyo picha kadhaa zinamuonyesha na kudhaniwa alikuwepo toka mwaka 1920 na alipigana vita ya pili kama mwanajeshi
View attachment 1680952
Na hili baadhi ya watu ulimwenguni huliamini kutokana na Putin kuwa mwanajeshi kabla.
View attachment 1680953
Hatujui chochote kuhusu hii michezo ya wazungu kama ni ukweli au ni drama
TUNAHITAJI DONDOO ZAIDI ....
karibuni
DA'VINCI XV
Why sasa hivi hizi nadharia za watu kuwa cloned zimekuwa nyingi mno? Hata rais wa Nigeria niliona wakisema ni cloned! Na watu maarufu wengiKwamba kawa cloned , kama zilivyo nadharia za kina Dr.Dre
😅😅😅😅Putin atakufa keshokutwa tu tutamzika.
Naam,Why sasa hivi hizi nadharia za watu kuwa cloned zimekuwa nyingi mno? Hata rais wa Nigeria niliona wakisema ni cloned! Na watu maarufu wengi
Hatari sanaPharrell williams ni imortal yule mshikaji hazeeki ina maana hawezi kufa