QUANTUM IMMOTALITY: Nadharia ya kukwepa kifo. Je, ni kweli Rais wa urusi PUTIN anaishi milele?

Ndio maana kuna kitu africa wanaita mzimu.Nguvu inayoishi dahari na dahari, isiyokwisha na wanaoteuliwa wanaiendeleza.Dini imetupotezea vingi.
 
Sawa mkui watu wanatulazimisha kwamba ubongo ndo kila kitu, wakati ulitazama kwa makini MACHO NDO KIBOKO YAO.Na wajuao wanakwambia haswa likifunguka la tatu..
 
Pharrell williams ni imortal yule mshikaji hazeeki ina maana hawezi kufa
 
Putin atakufa keshokutwa tu tutamzika.
 
Kwamba kawa cloned , kama zilivyo nadharia za kina Dr.Dre
Why sasa hivi hizi nadharia za watu kuwa cloned zimekuwa nyingi mno? Hata rais wa Nigeria niliona wakisema ni cloned! Na watu maarufu wengi
 
Why sasa hivi hizi nadharia za watu kuwa cloned zimekuwa nyingi mno? Hata rais wa Nigeria niliona wakisema ni cloned! Na watu maarufu wengi
Naam,
Wengine husema kuna manufaa kwa Vikundi au taasisi zinayofanya hayo... tatizo bado ushahidi wa Moja kwa moja haujapatikana
Ni wengi wanaohusishwa kukumbwa na kadhia hii , Hata Kim wa korea inasemekana upanga huu umemkuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…