Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Wanaomba wakutane na mimosaHakuna ligi yamabigwa nyepesi apa Duniani mzee asa kadri unavyozidi kupanda level Ndio unavyozidi kukutana na ma giant tupu au Nyinyi vyura mliambiwa na muuza magodolo Robo fainali itakua nyepesi
SEMI FINAL CHOICES ARE
SIMBA VS PETRO DE LUADA
SIMBA VS AL AHLY
SIMBA VS MAMMELODI SUNDOWNS
Chama afanye kitu na huku π π
Simba hapo atoki . Atleast yanga kwa asec Anatoka home and away . Sema wasali sanaLikewise kwa Yanga....
Hizo timu tatu mojawapo ndio watakuwa opponents wa Yanga, sema tu unamtoa Ahly unamuweka Asec...
Simba hapo atoki . Hata yanga kwa asec Anatoka home and away .
Sio ushabiki . Wewe una hisi Nani hapo anafungwaSawa shabiki wa Yanga...
Sio ushabiki . Wewe una hisi Nani hapo anafungwa
Nimefurahi sana kwa hiliLikewise kwa Yanga....
Hizo timu tatu mojawapo ndio watakuwa opponents wa Yanga, sema tu unamtoa Ahly unamuweka Asec...
Jambo la muhimu, Tanzania tuna timu mbili na hakuna taifa jingine si Misri au Tunisia limetusua kupitisha timu mbili...
Ulichoongea hapa ni kweli na data sio ushabiki maandazi kama wengine. Haya mashindano sio mepesi Ila timu zetu zinakuwaππΌ.Mechi yoyote atayopangiwa ama Simba au Yanga itakuwa ngumu...
1. Wote watakutana na timu zilizoongoza makundi, Sundowns, Asec wakiwa wamepoteza mchezo 1 pekee, Asec na Ahly wakiwa hawajapoteza mchezo.
2. Simba na Yanga ndio washindi wa pili wenye points chache, inaweza ikawa ni ugumu wa makundi yao au uwezo wa timu si mzuri kulingana na opponents waliokutana nao
3. Hii ndio mbaya zaidi, timu zetu zinaanzia game nyumbani na kwenda kumalizia ugenini na tukiwa away hatujakuwa na rekodi nzuri...
Rekodi ya Simba ugenini, droo 2 na kufungwa 1
Rekodi ya Yanga ugenini, droo 1 na kafungwa 2
Huko hakuna vibonde, safari imeishia hapoSEMI FINAL CHOICES ARE
SIMBA VS PETRO DE LUADA
SIMBA VS AL AHLY
SIMBA VS MAMMELODI SUNDOWNS
Chama afanye kitu na huku π π
Kwa Mamelod thubutuSafari hii nusu INATUHUSU
Anapigwa huyo.tuombe uzimaKwa Mamelod thubutu
Hizo mechi za Quarter final zimechezwa lini hadi uandike mechi za semi final? Yaani unawaza semi final wakati hata timu hazijajua zitacheza na nani quarter finalSEMI FINAL CHOICES ARE
SIMBA VS PETRO DE LUADA
SIMBA VS AL AHLY
SIMBA VS MAMMELODI SUNDOWNS
Chama afanye kitu na huku [emoji28][emoji28]
Mwisho wake ndio huo, uwezo wa kwenda mbele kwa aina ya wachezaji alionao ni mdogo, Kama tu kashindwa ata kuongoza kundi la timu dhaifu wakina jwaneng, whdad, Asec mimosas ataweza kufurukuta kwenye robo fainali? Ni ngumu sana Simba kufuzu nusu fainali ni Kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano,SEMI FINAL CHOICES ARE
SIMBA VS PETRO DE LUADA
SIMBA VS AL AHLY
SIMBA VS MAMMELODI SUNDOWNS
Chama afanye kitu na huku π π