kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Kama hapaView attachment 2923308
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kundi gumu lilikua lipi ? Kuna siku mliyowahi kukubali kuwa Simba kakutana na timu ngumu ?Mwisho wake ndio huo, uwezo wa kwenda mbele kwa aina ya wachezaji alionao ni mdogo, Kama tu kashindwa ata kuongoza kundi la timu dhaifu wakina jwaneng, whdad, Asec mimosas ataweza kufurukuta kwenye robo fainali? Ni ngumu sana Simba kufuzu nusu fainali ni Kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano,
Kiufundi bado wako ovyo sana wasijione wamejipata kwa kumfunga jwaneng goli 6 nafikiri Kila anatefatilia soka anajua jwaneng ni timu ya aina Gani licha ya kundi lao lote kuwa na timu dhaifu
Simba ndiyo dhaifu katika zote zilizoingia robo fainali, hizo goli 6 ni kwa timu gani, Galaxy!!!???. Subiri mechi za robo zitakapoanza.Group stage ni timu ngapi zimeshinda goli 6? Why simba aonekane dhaifu?
Kama ipi?Na ukute hata na Mamelod wenyewe kuna timu mojawapo za hapa bongo hawatamani kukutana na ayo robo fainal
Hapo Simba alipofika, hata kama wangekua hawaangalii mambo ya timu za port 1 kama Mamelodi, Asec, Petro na Ahly. Simba hata ikipewa timu za port 2, yaani TP Mazembe, Tunis na Yanga, haina uwezo wa kutoka na aggregates za kuivusha kwenda next stage. Mwisho wa Simba ni hapa kwenye robo kama miaka mingine.Hilo linajulikana japo kinaflani siyo bora. Swali hapo SIMBA atamfunga nani?
Kwahiyo hiyo robo fainali atatoka simba peke yake si ndio? Hao wengine wakitoka watakuwa sio wabovu?Simba ndiyo dhaifu katika zote zilizoingia robo fainali. Subiri mechi za robo zitakapoanza.
Hapa kuna 90%sundowns lazima atapewa mtu wa tz mmoja
Kwenye group stage Simba ilikuwa na grupu jepesi sana, ngoja sasa aje akumbane na washindi wa kutoka magroup magumu ya A na D; atashukuru sana akikumbana na washindi wa group C ambalo ndilo lililokiuwa la pili kwa urahisi baada ya grupu BQUARTER FINAL CHOICES ARE
SIMBA VS PETRO DE LUADA
SIMBA VS AL AHLY
SIMBA VS MAMMELODI SUNDOWNS
Chama afanye kitu na huku 😅😅 , Kama ni mwamba kweli
Maana yangu, ukiziweka timu zote 8 kwenye list ya uwezekano wa kusonga next stage, Simba ni ya mwisho. Zitatoka timu 4 na Simba ikiweko. Subiri mechi za robo fainali zianze utaelewa haya maneno.Kwahiyo hiyo robo fainali atatoka simba peke yake si ndio? Hao wengine wakitoka watakuwa sio wabovu?
Jepesi kivipi? Au kwa sbb na yy alikua mwamba akapangiwa na vibonde 2 kama nyie mlivyokua vibonde mkapangiwa miamba wawiliKwenye group stage Simba ilikuwa na grupu jepesi sana, ngoja sasa aje akumbane na washindi wa kutoka magroup magumu ya A na D; atashukuru sana akikumbana na washindi wa group C ambalo ndilo lililokiuwa la pili kwa urahisi baada ya grupu B
HYaania unataka kulinganisha Yanga na SimbaJepesi kivipi? Au kwa sbb na yy alikua mwamba akapangiwa na vibonde 2 kama nyie mlivyokua vibonde mkapangiwa miamba wawili
labda mpate petro luanda or else simba KIMAHESABU imetokaMaana yangu, ukiziweka timu zote 8 kwenye list ya uwezekano wa kusonga next stage, Simba ni ya mwisho. Zitatoka timu 4 na Simba ikiweko. Subiri mechi za robo fainali zianze utaelewa haya maneno.
sundowns tz lazima aje this seasonHapa kuna 90%
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume mnakua na gubu kwa mwanaume mwenzenu kama wamama...yani kumpa credts mwamba mnaona mnapungukiwa nguvu za kiume? Kwani hao nyie hamuwezi kukutana nao?
Tanzania fans kwa mdomo tu. ni nomaHawa makolo kumbe wanajulikanaq Hadi nje kuwa wanaongea Sana hahahahhahah
quality of football was terrible. kwa lile group la simba. that was the reason for the weakness. alligationsKwenye group stage Simba ilikuwa na grupu jepesi sana, ngoja sasa aje akumbane na washindi wa kutoka magroup magumu ya A na D; atashukuru sana akikumbana na washindi wa group C ambalo ndilo lililokiuwa la pili kwa urahisi baada ya grupu B