Quarter final ya Simba ni hatari

Kundi gumu lilikua lipi ? Kuna siku mliyowahi kukubali kuwa Simba kakutana na timu ngumu ?
Kwenu timu inakua ngumu kwa Simba ni endapo tu Simba atafungwa. Ila akishinda au kutoa sare mnabadirika mnasema ni vibonde.
Simba kuna mwaka aliongoza kundi lenye Al haly mkatafuta sababu.
Simba alikutana na Al ahly AFL ilipoisha sare mkasema Al alhy wabovu. Walipowakandeni mkasema ile ni timu kubwa.
Tumeshawazoeeni.
 
Group stage ni timu ngapi zimeshinda goli 6? Why simba aonekane dhaifu?
Simba ndiyo dhaifu katika zote zilizoingia robo fainali, hizo goli 6 ni kwa timu gani, Galaxy!!!???. Subiri mechi za robo zitakapoanza.
 
Hilo linajulikana japo kinaflani siyo bora. Swali hapo SIMBA atamfunga nani?
Hapo Simba alipofika, hata kama wangekua hawaangalii mambo ya timu za port 1 kama Mamelodi, Asec, Petro na Ahly. Simba hata ikipewa timu za port 2, yaani TP Mazembe, Tunis na Yanga, haina uwezo wa kutoka na aggregates za kuivusha kwenda next stage. Mwisho wa Simba ni hapa kwenye robo kama miaka mingine.
 
Simba ndiyo dhaifu katika zote zilizoingia robo fainali. Subiri mechi za robo zitakapoanza.
Kwahiyo hiyo robo fainali atatoka simba peke yake si ndio? Hao wengine wakitoka watakuwa sio wabovu?
 
QUARTER FINAL CHOICES ARE

SIMBA VS PETRO DE LUADA

SIMBA VS AL AHLY

SIMBA VS MAMMELODI SUNDOWNS

Chama afanye kitu na huku 😅😅 , Kama ni mwamba kweli
Kwenye group stage Simba ilikuwa na grupu jepesi sana, ngoja sasa aje akumbane na washindi wa kutoka magroup magumu ya A na D; atashukuru sana akikumbana na washindi wa group C ambalo ndilo lililokiuwa la pili kwa urahisi baada ya grupu B
 
Kwahiyo hiyo robo fainali atatoka simba peke yake si ndio? Hao wengine wakitoka watakuwa sio wabovu?
Maana yangu, ukiziweka timu zote 8 kwenye list ya uwezekano wa kusonga next stage, Simba ni ya mwisho. Zitatoka timu 4 na Simba ikiweko. Subiri mechi za robo fainali zianze utaelewa haya maneno.
 
Wanaume mnakua na gubu kwa mwanaume mwenzenu kama wamama...yani kumpa credts mwamba mnaona mnapungukiwa nguvu za kiume? Kwani hao nyie hamuwezi kukutana nao?
 
Kwenye group stage Simba ilikuwa na grupu jepesi sana, ngoja sasa aje akumbane na washindi wa kutoka magroup magumu ya A na D; atashukuru sana akikumbana na washindi wa group C ambalo ndilo lililokiuwa la pili kwa urahisi baada ya grupu B
Jepesi kivipi? Au kwa sbb na yy alikua mwamba akapangiwa na vibonde 2 kama nyie mlivyokua vibonde mkapangiwa miamba wawili
 
Jepesi kivipi? Au kwa sbb na yy alikua mwamba akapangiwa na vibonde 2 kama nyie mlivyokua vibonde mkapangiwa miamba wawili
HYaania unataka kulinganisha Yanga na Simba
 
Maana yangu, ukiziweka timu zote 8 kwenye list ya uwezekano wa kusonga next stage, Simba ni ya mwisho. Zitatoka timu 4 na Simba ikiweko. Subiri mechi za robo fainali zianze utaelewa haya maneno.
labda mpate petro luanda or else simba KIMAHESABU imetoka
 
Wanaume mnakua na gubu kwa mwanaume mwenzenu kama wamama...yani kumpa credts mwamba mnaona mnapungukiwa nguvu za kiume? Kwani hao nyie hamuwezi kukutana nao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa makolo kumbe wanajulikanaq Hadi nje kuwa wanaongea Sana hahahahhahah
 
Kwenye group stage Simba ilikuwa na grupu jepesi sana, ngoja sasa aje akumbane na washindi wa kutoka magroup magumu ya A na D; atashukuru sana akikumbana na washindi wa group C ambalo ndilo lililokiuwa la pili kwa urahisi baada ya grupu B
quality of football was terrible. kwa lile group la simba. that was the reason for the weakness. alligations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…