Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

Queen Darleen ahama kwenye nyumba ya Mbezi Beach arudi kwao Sinza

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kaka ake na umillinare wote huo anashindwa kumlipia dada ake kodi Jaman ? Sasa kufanya 40 ya kifahari yote ile na kumbe kodi anadaiwa ya nini ? .

Kupitia insta Live, Queen darleen ka confirm kurudi kwao na kasema kuwa hawez kuaibika mjini kwa kuwa Mama yake alimuachia nyumba Sinza hvyo kaamua kurudi kwao kutoka mbezi beach alikokua anakaa kwenye ghorofa ambapo ni Karibu na kwa kaka yake Diamond .

Mmh mji mzito huu
IMG_9159.jpg
 
Wewe ungekua hupendi kufuatilia ya watu humu umekuja kufuata nini mnafiki mkubwa wewe Mxiee tena usinifanye nikuchambe had usahau jinsia yako mbwa wewe
Sawa upo sahihi kwa akili zako,ila ni ujinga kuanza kufuatilia maisha ya mtu anavyoishi na utabaki kuwa mjinga kama hutabadilika.......akipanga Mbagala,Mbezi au Tandale we inakusaidia nini?
 
Sawa upo sahihi kwa akili zako,ila ni ujinga kuanza kufuatilia maisha ya mtu anavyoishi na utabaki kuwa mjinga kama hutabadilika.......akipanga Mbagala,Mbezi au Tandale we inakusaidia nini?
Umevamua jukwaa jombaa, ukitaka mambo ya uchumi wa kati nenda jukwaa la siasa.

Huku wenzio tunakujaga kuondowa stress tu, huwezi kuvaa suti beach bana.
 
Back
Top Bottom