passion and power
Senior Member
- Feb 13, 2017
- 102
- 78
Kuwa na uvumilivu dada.... Mumeo yupo, muda utaongea usijali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiooo[emoji1]
Ngoja ni mfikirie kama anaweza kuwa bi mdogo.Ndiooo
Khaa.... Mdogo hapana ulie nae tosha. Waachie wengineNgoja ni mfikirie kama anaweza kuwa bi mdogo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Khaa.... Mdogo hapana ulie nae tosha. Waachie wengine
Ogneza Picha zake zingine
MWANAMUZIKI anayefanya vizuri akiwa chini ya Lebo ya ‘WCB’, ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa anaumizwa sana na hali ya kuishi bila mpenzi jambo ambalo limekuwa likimuumiza sana katika maisha yake ya sasa maana yeye pia anahitaji kupenda na kupendwa kama walivyo watu wengine.
Akichonga na Showbiz Xtra, Queen Darleen alisema kuwa, tangu aachane na mzazi mwenziye aliyezaa naye mtoto mmoja wa kike hajawahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi jambo ambalo amekuwa akijiuliza bila kupata jibu kuwa linasababishwa na nini.
“Naumizwa na hii hali, kuna wakati huwa nafikiria wanaume wananiogopa au sijui ni kitu gani kinatokea sasa nahitaji kuwa na mpenzi,” alisema Darleen.
Chanzo: Bongo Movie
amekua wasafi kapanda hadhi wanaume watakua wanamgwaya kaka yake

[emoji23] [emoji134] [emoji28] [emoji125]Mwambie kuwa Mungu hampi binadamu kila kitu! 🙂
Yeye kashatuita wanaume Kijuso, mwache ale jeuri yake.