Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwer kabsa hapo atapaka kiki ya nguvuHarmo rapa kashaskia....soon atafanya yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama mkwe wake Kapinda sana yule Bihindu wa Simba na ni mswahilli sana
Nilitaka kulisema hilo.Tatizo analeta usela mwingi sanaa
Serenget boy amlee kama.....................................Atafute humo humo wasafi .
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ahahaaaa muonekano wake unaogopesha wanaume
Namimi naitaji kujuaYupi?
Dakota Dela Vida abdra kadabra mtoto wa Bihindu wa kariakoo, Shabiki wa Simba Sport Club
Tatizo kakaa kisela sanaa, lakn cio kitu namkaribisha kwangu aje amibembeleze[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ahahaaaa muonekano wake unaogopesha wanaume