QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,209
kaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.

ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania
 
Ukiiweka nitag
 
Mkuu ata mimi unikumbuke kwenye ufalme wako
 
kaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.

ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania
Unataka uanze kunilaza tongo macho tena[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Mama yangu sijui ntafanyeje[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ngoja nitengeneze mazingira ya kutafuta ruhusa job[emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Back
Top Bottom