QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Huyu ndio LEGE
Kwa kutesa akili huyu jamaaaa,
Leta basi udenda hapa,

Nilishakuwa teja wa LEGE sasa natafuta soba hausi manake huyu jamaa anezidi
 
kaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.

ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania
Kwa nini usibuni majina ya kikwetu kwetu...?? Jaribu kutafuta/kufikiria ila usirudie rudie ya kwenye bongo movie, itakuwa vizuri sana. Haya ni mawazo yangu
 
Mkuu LEGE hiyo kitu unaishusha lini?

Usisahau kunitag eroo, naamini hiyo inaweza ikafikia level za Peniela
 
Msimu mpya wa mateso bila chuki unaanza baada ya ule wa Peniela. Mungu nisaidie nisiwe teja kupitiliza.
 
  • Thanks
Reactions: cip
Mkuu LEGE tafadhali usinisahau katika tag list yako
 
kaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.

ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania

Watu wamekalishwa mkao wa kula, wamenawa mpaka mikono imekauka, itabidi wanawe tena utakapoleta msosi.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Watu wamekalishwa mkao wa kula, wamenawa mpaka mikono imekauka, itabidi wanawe tena utakapoleta msosi.
Unawezachukula simpo LEGE lakini kwa tunaomjua kashatufanya kitu mbaya aseee.

Akiamua kutesa anatoa mateso kweli

Akiamua kuusuza moyo wako weeeeeeeeeeeh
Utazani kazaliwa korea drama,
 
Basi ngoja tumsubiri, maana hakuna namna tena.
 
kaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.

ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania
Lege .. fanya mambo bana... lon sasa unatoa.... ili tujipange kbsa hyo siku nzma
 
Back
Top Bottom